Niliyoyaona kwenye Game ya YANGA vs AL HILAL

CARDLESS

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Posts
7,840
Reaction score
15,918
Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi.

Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1.

Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu miaka ya mwishoni mwa miaka 1990. Na ni mpenzi mkubwa na Mwanachama wa YANGA, na huko Majuu basi mimi ni UNITED lialia.

Twende moja kwa moja kwenye mada yetu. Jamani mpira ni sanaa, mpira ni teknikali, mpira ni kazi nk.

Mechi kwa ujumla ilikuwa nzuri kwa pande zote (Kimchezo) na si (Kimatokeo). Kwa ujumla haya ndio nimeyaona na nitaweka zaidi kwa manufaa ya timu yangu ya YANGA. Nina imani yupo yeyote kwenye cycle ya timu yetu ataona hili bandiko, na hapa nitaweka hasa mapungufu ambayo kama tutarekebisha basi tutashinda ugenini kama ilivyotekea miaka kadhaa nyuma

YANGA VS HIGHLANDERS (1-1) AWAY (0-2) Magoli ya Iddy Moshi

YANGA VS APR (1-1) AWAY (2-1) Magoli ya Juma Abdul na Kamusoko

YANGA VS TOWNSHIP ROLLERS
(1-1) Home, AWAY (0-1). Goli la Balinya.

Tuje kwenye mechi hii sasa.

1. Mabeki
Jamani kila siku tunasema hapa, Yanga unaposajili wachezaji wa kigeni hakikisha wanacheza, hawa wachezaji wana mambo makuu ma3 hadi ma4
1. Wanataka kujiuza timu kubwa zaidi.
2. Wanataka kuonesha wana thamani fulani
3. Wazoefu kwenye michuano

Sasa basi YANGA tulimuacha Yasin Mustafa na Kumsajili LOMALISA, Kocha NABI lazima ajue ni bora mara 100 aanze Lomalisa kuliko Kibwana, Lomalisa ana utulivu, kucheza slow ni aina yake ya uchezaji, tuliwahi kuwa na CHIBE CHIBINDU hakuwa mwenye speed mno ila alikuwa anajua mpira. Game ya leo imeharibiwa kwa kiasi kikubwa na KIBWANA, mara zote amekabia ndani au kwa macho. Game ijayo binafsi na kwa uzoefu wangu hafai kuanza, tunahitaji mzoefu mwenye kujua sasa napanda sasa nakaba tu. Umbo dogo ni faida kwa Al hilal.

Pia beki za kati, sasa ni wakati wa kuanza kumuamini Bacca, Yes hata Canavaro alikuja kama mchezaji mdogo lkn alipewa nafasi alifanya vyema, kima, stamina na control ina mbeba mno.

Bangala asogezwe namba 6, namba abaki job na 5 amalize Bacca. Hapa tutapata faida kwa utulivu wa Bangala, na Bacca, lkn pembeni una Djuma na Lomalisa ambao licha ya uzoefu wao ila pia maumbo yao yanawabeba.

2. ENEO LA KIUNGO

Piga bench Aucho, ndio aanze benchi, weka namba 6 BANGALA, na 8 FEISAL, ndio Ni kosa kubwa kumrudisha Namba 6 Feisal kutoka no. 10. Balansi timu kwa kuweka mtu mbele ambaye mipira inayotoa hovyo anaweza amua matokeo.

3. ENEO LA USHAMBULIAJI + WINGS

Jamani hizi game zinahitaji matokeo tu. Ubovu wa Moloko na hata Kisinda umepekea matokeo mabaya. Hawaamui kama timu always mipira yao inatoka nje au inakuwa blocked.

Tuanze na FARID kushoto na MORRISON kulia, hapa timu itabalance sana. FARIDI atakaa upande wa LOMALISA ambaye anaweza kushambulia na kiasi mzito kurudi ambapo FARID yy anaweza kushuka na kukaba kwa wakati na kufuta makosa.

MORRISON mzuri kushambulia ila kusaidia nyuma ni mvivu hivyo upande wa Djuma atacheza kwa uhuru maana DJUMA anajua kukaba.

MAYELE mbele apunguze ubinafsi kidogo, sawa anataka kutetema lkn kuna nafasi hawezi kufunga basi apasie wenzake ili tushinde kwa urahisi

AZIZ KI. Anacheza vizuri ila hana uhuru, NABI amwache huru yaan free role, awe anazunguka uwanja mzima, kama afanyavyo Messi, asimkatie kipande, hawezi tusaidia. KI acheze uwanja mzima anavyoweza ili kuwahamisha mabeki muda wote, hii itamsaidia MAYELE au MAKAMBO kufunga Kirahisi.

Hitimisho, Yanga wana nafasi. Nafasi hii inategemea KOCHA aachane na Vikosi vya RUVU SHOOTING, apange wanaume sio watoto.

Naweka pesa naiona YANGA akisonga mbele MAKUNDI akirudia comeback zake za kibabe kama za miaka kadhaa nyuma huko.
 
Kwa niaba ya wananchi wa Sudan tunawakaribisha sana Yanga hapa Kartoum.
Kwanza airport lazima tuwakalishe masaa 12.
Kisha wasafiri na basi masaa 12 kama wanaenda kigoma.
Mazoezi watafanyia uwanja wa shule.
Watalala hostel na hotel zote zitakuwa zimejaa.

Wamezoea kuruka ukuta wakifika hapa ule ukuta umewekewa nyaya za shoti so lazima wapite geti kuu.

Alafu sasa ndo tutakutana uwanjani...
Dk 90

Al hilal 5- 0 Yanga.

Yanga wanapaswa kujifunza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani... Lupaso inawabeba sana Simba. Huwa anahakikisha Taifa hatoki mtu.
 
Kartoum ndo nini?
 
Kocha anamtumia Moloko kukimbia gemu ngumu hizo angemuweka na Sure boy ile 7 ya kuchezea ndani na kiungo mmoja anamsaidia kukaba beki ya kulia kwa ule mfumo wake labda bahati tuu watu wanamiliki wao wakipigwa Counter goli au hatari mbaya Aucho alichoka sana ila hataki kumtoa..
 
Kwa niaba ya wananchi wa Sudan tunawakaribisha sana Yanga hapa Kartoum.
Kwanza airport lazima tuwakalishe masaa 12.
Kisha wasafiri na basi masaa 12 kama wanaenda kigoma.
Mazoezi watafanyia uwanja wa shule.
Watalala hostel na hotel zote zitakuwa zimejaa.

Wamezoea kuruka ukuta wakifika hapa ule ukuta umewekewa nyaya za shoti so lazima wapite geti kuu.

Alafu sasa ndo tutakutana uwanjani...
Dk 90

Al hilal 5- 0 Yanga.

Yanga wanapaswa kujifunza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani... Lupaso inawabeba sana Simba. Huwa anahakikisha Taifa hatoki mtu.
Jifunze kuandika kwanza kisha ndio ulete mbwembwe za kikolo, sasa Kartoum ndio nini!
 
Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilishe mfumo, namba na mbinu za uchezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
 
Tukitoka Sudan tunamfukuza nabi tunakupa kazi ya ukocha wewe
 
Habari zenu ndugu, wadau na wanabodi.

Jana (08/10/22) kulipigwa mbungi la klabu bingwa Afrika kati Yanga vs Al Hilal, na matokeo yalikuwa sare ya 1-1.

Binafsi mimi ni mfuatiliaji wa mpira tangu miaka ya mwishoni mwa miaka 1990. Na ni mpenzi mkubwa na Mwanachama wa YANGA, na huko Majuu basi mimi ni UNITED lialia.

Twende moja kwa moja kwenye mada yetu. Jamani mpira ni sanaa, mpira ni teknikali, mpira ni kazi nk.

Mechi kwa ujumla ilikuwa nzuri kwa pande zote (Kimchezo) na si (Kimatokeo). Kwa ujumla haya ndio nimeyaona na nitaweka zaidi kwa manufaa ya timu yangu ya YANGA. Nina imani yupo yeyote kwenye cycle ya timu yetu ataona hili bandiko, na hapa nitaweka hasa mapungufu ambayo kama tutarekebisha basi tutashinda ugenini kama ilivyotekea miaka kadhaa nyuma

YANGA VS HIGHLANDERS (1-1) AWAY (0-2) Magoli ya Iddy Moshi

YANGA VS APR (1-1) AWAY (2-1) Magoli ya Juma Abdul na Kamusoko

YANGA VS TOWNSHIP ROLLERS
(1-1) Home, AWAY (0-1). Goli la Balinya.

Tuje kwenye mechi hii sasa.

1. Mabeki
Jamani kila siku tunasema hapa, Yanga unaposajili wachezaji wa kigeni hakikisha wanacheza, hawa wachezaji wana mambo makuu ma3 hadi ma4
1. Wanataka kujiuza timu kubwa zaidi.
2. Wanataka kuonesha wana thamani fulani
3. Wazoefu kwenye michuano

Sasa basi YANGA tulimuacha Yasin Mustafa na Kumsajili LOMALISA, Kocha NABI lazima ajue ni bora mara 100 aanze Lomalisa kuliko Kibwana, Lomalisa ana utulivu, kucheza slow ni aina yake ya uchezaji, tuliwahi kuwa na CHIBE CHIBINDU hakuwa mwenye speed mno ila alikuwa anajua mpira. Game ya leo imeharibiwa kwa kiasi kikubwa na KIBWANA, mara zote amekabia ndani au kwa macho. Game ijayo binafsi na kwa uzoefu wangu hafai kuanza, tunahitaji mzoefu mwenye kujua sasa napanda sasa nakaba tu. Umbo dogo ni faida kwa Al hilal.

Pia beki za kati, sasa ni wakati wa kuanza kumuamini Bacca, Yes hata Canavaro alikuja kama mchezaji mdogo lkn alipewa nafasi alifanya vyema, kima, stamina na control ina mbeba mno.

Bangala asogezwe namba 6, namba abaki job na 5 amalize Bacca. Hapa tutapata faida kwa utulivu wa Bangala, na Bacca, lkn pembeni una Djuma na Lomalisa ambao licha ya uzoefu wao ila pia maumbo yao yanawabeba.

2. ENEO LA KIUNGO

Piga bench Aucho, ndio aanze benchi, weka namba 6 BANGALA, na 8 FEISAL, ndio Ni kosa kubwa kumrudisha Namba 6 Feisal kutoka no. 10. Balansi timu kwa kuweka mtu mbele ambaye mipira inayotoa hovyo anaweza amua matokeo.

3. ENEO LA USHAMBULIAJI + WINGS

Jamani hizi game zinahitaji matokeo tu. Ubovu wa Moloko na hata Kisinda umepekea matokeo mabaya. Hawaamui kama timu always mipira yao inatoka nje au inakuwa blocked.

Tuanze na FARID kushoto na MORRISON kulia, hapa timu itabalance sana. FARIDI atakaa upande wa LOMALISA ambaye anaweza kushambulia na kiasi mzito kurudi ambapo FARID yy anaweza kushuka na kukaba kwa wakati na kufuta makosa.

MORRISON mzuri kushambulia ila kusaidia nyuma ni mvivu hivyo upande wa Djuma atacheza kwa uhuru maana DJUMA anajua kukaba.

MAYELE mbele apunguze ubinafsi kidogo, sawa anataka kutetema lkn kuna nafasi hawezi kufunga basi apasie wenzake ili tushinde kwa urahisi

AZIZ KI. Anacheza vizuri ila hana uhuru, NABI amwache huru yaan free role, awe anazunguka uwanja mzima, kama afanyavyo Messi, asimkatie kipande, hawezi tusaidia. KI acheze uwanja mzima anavyoweza ili kuwahamisha mabeki muda wote, hii itamsaidia MAYELE au MAKAMBO kufunga Kirahisi.

Hitimisho, Yanga wana nafasi. Nafasi hii inategemea KOCHA aachane na Vikosi vya RUVU SHOOTING, apange wanaume sio watoto.

Naweka pesa naiona YANGA akisonga mbele MAKUNDI akirudia comeback zake za kibabe kama za miaka kadhaa nyuma huko.
Mambo 4 naungana na wewe;
1.Aucho apumzike 6 acheze Bangala Ila 5 abaki Mwamnyeto sioni sababu ya kutomwamini.
2.Kulia na kushoto Wings Farid na Morrison.
3.Lomalisa badala ya Kibwana.
4.Mayele akumbushwe ushindi wa timu kabla ya kutetema. Hili wengi hawajaliongea, lakini Jana kuna move moja alitakiwa kumpa Morrison yeye akaendelea kukokota Hadi akapokonywa.
 
Tukitoka Sudan tunamfukuza nabi tunakupa kazi ya ukocha wewe
Ndio maana kukawa na wachambuzi, video analysts, Referees, kocha, fundi redio, mwalimu, polisi, wanajeshi, nk, siyo wote wawe makocha,...au ww hizo nguo ulizo vaa ume tengeneza ww?
 
Nabi ni mbovu kwenye mechi za kimataifa. Ana panga ki kosi uta dhani ana cheza mechi za Ligi na Mbeya City au Singida Big Stars. Hizi Game za CAF ni za mtoano. Hakuna kulemba. Ali takiwa , aanze na Joyce Lomalisa badala ya Jesus Moloko. Pia, ange mtoa kibwana Shomari hata dk ya 26 tu, kwani alipwaya aingie Bakari Nondo Mwamnyeto afu abadilishe mfumo, namba na mbinu za uchezaji uwanjani kati ya Faisal na Aziz Ki. Pia aongeze, UKALI. Wachezaji wana lipwa mishahara minono kuliko watu wa Masters Degree, mil 7 hadi mil 15 ila hawajitumi, hawana fighting spirit, mpira wanao cheza hauna maajabu...ni sawa tu na mpira wa Polisi Tz. Aucho, Bangala, Aziz Ki, Jesus Moloko, Diarra, Kisinda, nk hawa wana cheza chini ya kiwango. Aziz Ki ana tabia ya kupooza sana mpira pale shambulizi linapo hitajika. Diarra ana zubaa sana golini na ni mvivu wa kufanya maamuzi hasa mipira ya kona ..hata yale Makosa ya goli la jana (kosa la Bangala), kipa (Diarra) angekuwa shapu, ange futa makosa ya beki kwa kufuata na ku udaka mpira juu hewani (ana tabia ya kubaki sana golini bila kufuata mipira juu kama alivyo kuwa ana fanya kipa wa Al Hilal). Faridi Mussa huwa ana kosa la kukosa Focus (ana mbio na anaweza kukokota mpira vizuri sanaaa ila either atoe cross mbovu au achelewe kutoa cross/pasi hana tofauti sana na Kibu Denis).

Mechi za Yanga hazina nguvu, pressure. Kocha ajaribu kuwachezesha mazoezi ya mpira wa Nguvu na Kasi kama Manchester City (ikiwezekana mazoezini wacheze dk 120).

Viongozi wa YANGA kuweni wakali. Wapeni Malengo wachezaji. Penalty ziwepo kwenye Mikataba ya mishahara zao kama Manchester United. Hela ya YANGA tuna hitaji kuona matunda yake. Kama ni wachezaji wa hivyo! Fukuzeni sajilini wa ndani ya nchi tu, hizo hela za Wadhamini tujenge uwanja wetu.

YANGA BADO INA NAFASI YA KUFUZU. KOCHA AACHE MASIHARA.
Ni kweli Nabi na Viongozi wawe wakali sana, hawa wachezaji wanaleta masihara.
 
Ndio maana kukawa na wachambuzi, video analysts, Referees, kocha, fundi redio, mwalimu, polisi, wanajeshi, nk, siyo wote wawe makocha,...au ww hizo nguo ulizo vaa ume tengeneza ww?
Ndo maana nkasema hicho kibarua cha nabi wakupe wewe coz umeichambua timu vyema kuliko nabii.
Tunahitaji kwenda makundi aise..na nabii ashafeli.
 
Yanga wakitaka kutengeneza clean sheet, basi Yannick Bangala acheze kama kiungo namba 6! Na hii nafasi ndiyo iliyompa tuzo msimu uliopita.

Ndani ya Yanga, hakuna mchezaji mwingine mwenye kuimudu hiyo namba zaidi ya Bangala! Hata udhaifu wa Diarra na Mwamnyeto, mara zote ulifichwa na Yannick Bangala.
 
Tatizo la uto ni kukosa DNA.na ule mwiko uliopo nyuma

Back
Top Bottom