Niliyoyaona kwenye jengo lilikuwa na watu wengi

Smartkahn

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2020
Posts
594
Reaction score
1,061
Niliona ninaingia kwenye jengo likiwa na watu wengi, ni kama ukumbi watu walikua wakisubili au wametoka kupata burudani.

Nikiwa naingia kupitia moja ya milango tukiwa watu kadhaa mimi nilipita katikati ya ukumbi nikiwa unaelekea jukwaani na ilionekana kana kwamba na mimi ni mpambanaji niliefika pale kwaajili ya mpambano nikiwa njiani nilipishana na mabondia wanamichezo mashughuli nilivyokua nawakubali kazi zao nilipishana nao kwa ubabe/ushupavu wale mabondia/wanamichezo mashuhuli na wenye nguvu na miili iliyoshiba, na mimi nilikua na muonekano wa ushupavu na mwili ulioshiba, ila moyoni mwangu nilikua najiona ni dhaifu(hofu kidogo) kutokana na ukweli kwamba sina mafunzo ya mchezo ule na sina uzoefu wowote juu ya mapambano.

Nikiwa jukwaani watu (mashabiki) walikuwa wanashangilia sana, nikaamua kwenda nje upande wa pili kwa kutokea kwenye lango kubwa zaidi ya ule niliyoingilia.

Nikiwa naelekea kule nje kwa heshima na unyenyekevu wa hali ya juu nikakutana na mti wenye kivuli nikaamua kupumzika pale ila mazingira yakule nje ni kama ya shuleni na kulikua na watu wengi wa lika tofauti pia Na viongozi ni kama kulikua na mkutano maalumu. Na kwamazingira yale nilionekana ni mtu mwenye nidhamu mpole na mnyenyekevu.

Baada ya muda nikasikia naitwa na baadhi ya viongozi waliokua eneo lile nikiwa nimeshika chakula fulani hivi kama pande la boga Wananchi wakanisisitiza kua naitwa kule nikanyanyuka kwa kitete fulani hivi nikawa naelekea kule nikalivunja lile pande la chakula kipande kimoja nikakiweka pale nilipokua nimekaa na kingine nikaondoka nacho, kufika pale nikakutana na watu wakiwemo vijana watoto na kaka yangu alikuepo pale, nikawasalimia pale tukio likaana lasmi.

Kulionekana kama kuna tukio limetokea kuna sehemu kumeteketea na watu walipoteza ndugu jamaa na marafiki. Hivyo tulikua pale viongozi wakasema simnajua kilichotokea hivyo basi hawa ndugu zetu tuwasaidie, kulikua na watoto na vijana walitengwa kimakundi kulingana na familia walizotokea na kundi moja wakanikabidhi mimi na lingine akakabidhiwa mtu mwingine, basi kitu cha kushangaza ni kwamba lile kundi nililopewa kulikua na kijana wa lika langu ninamkubali sana moyoni mwangu kulingana na alivyo.

Basi nikawa nafuraha moyoni tukasalimiana pale wote kwa pamoja kwa kushikana mikono, kukatokea mkanganyiko mmoja wakati wakupeana mikono, wakati namsalimia kuna kijana mwingine naye alikua ameshapeleka mkono ili kumsalimia yule jamaa yetu basi ikabidi anisubili nimalize kusaidiana nae ndipo naye akapata nafasi ya kumpa mkono na wakasalimiana hivyo wote tukawa tumesalimiana kuonyesha kua tumefikiiana kwa jambo tulilolifanya pale hivyo tukahitimisha tukio lile.
 
Tayari, tayari huyo, ndugu zake wako wapi wamuwahi kabla hajatokomea Mikumi mbugani.
 
View: https://youtu.be/kJQvnLDZ-gI?si=iFec6bb2zk45s775
Au

View: https://youtu.be/1oDL8HPa_5s?si=AFADJcmUkQnpbH-X

Ama hawa

View: https://youtu.be/QBQ6yo_2J0s?si=5sHERTR0AKk9NHMf

Au vyote kwa pamoja...

AMA HAKUNA HATA KIMOJA KINACHOHUSIANA NA HABARI HAPO JUU BALI NI KUWEWESEKA TU YOTE YANAWEZEKANA.

Wasira || Lisu
Inawezekana maono yameshatimia bondia asiyenamafunzo wala uzoefu kupita kwa ujasiri mbele ya mabondia mashuhuli na kusimama jukwaani... yaani (juu yao).

Ila jambo la kushangaza ni kwamba huyu bondia asiyekua na mafunzo wala uzoefu alipanda jukwaani na aka shangiliwa sana, lakini hakupigana badala yake alienda nje ya jengo haieleweki ni siku ile ile ya mkutano ama siku nyingine akiwa kule nje pasipo kutarajia aliitwa na kukabidhiwa familia.
Nikiwa naingia kupitia moja ya milango tukiwa watu kadhaa mimi nilipita katikati ya ukumbi nikiwa unaelekea jukwaani na ilionekana kana kwamba na mimi ni mpambanaji niliefika pale kwaajili ya mpambano nikiwa njiani nilipishana na mabondia wanamichezo mashughuli nilivyokua nawakubali kazi zao nilipishana nao kwa ubabe/ushupavu wale mabondia/wanamichezo mashuhuli na wenye nguvu na miili iliyoshiba, na mimi nilikua na muonekano wa ushupavu na mwili ulioshiba, ila moyoni mwangu nilikua najiona ni dhaifu(hofu kidogo) kutokana na ukweli kwamba sina mafunzo ya mchezo ule na sina uzoefu wowote juu ya mapambano.

Nikiwa jukwaani watu (mashabiki) walikuwa wanashangilia sana, nikaamua kwenda nje upande wa pili kwa kutokea kwenye lango kubwa zaidi ya ule niliyoingilia.

Nikiwa naelekea kule nje kwa heshima na unyenyekevu wa hali ya juu nikakutana na mti wenye kivuli nikaamua kupumzika pale ila mazingira yakule nje ni kama ya shuleni na kulikua na watu wengi wa lika tofauti pia Na viongozi ni kama kulikua na mkutano maalumu. Na kwamazingira yale nilionekana ni mtu mwenye nidhamu mpole na mnyenyekevu.
Ninatafakari sana je ni tukio lipi hilo lililo teketeza huko mpaka familia zikatafutiwa hifadhi kwa watu!?

Kwanza hadi makundi mawili ya watoto wa familia tofauti yanatafutiwa hifadhi inamaana wazazi ama walezi wameteketea???

Je vipi kama hizo familia haimaanishi familia kama ngazi ya familia!? Kama ni hivyo wanaozipokea hizo familia ni kina nani hao!!!?
 
Back
Top Bottom