Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

Aisee wewe umepasifia sana msumbiji. Mbona ndio njia yangu ya kupush kazi huko,
Yaani mpaka umeandika msumbiji safi kuliko bongo. Aaaaaaaanh😂😂😂😂😂, watu tukirudi bongo ndio tunashukuru. Rushwa ya msumbiji mpaka utoke shughuli haswa.
 
Safi sana mkuu Kwa bandiko zuri..
 
Kuna sehemu nahisi ni chai kila mtu anayetoka nje ya Tz kwenda nchi nyingine za kiAfrica anadai waTz wanapendwa huko aliko "hii ni chai baba" utainywa mwenyewe na Mbilimbi
Ebu taja Hizo nchi utaishia kusema Kenya, uganda, Rwanda, Congo na Burundi why usiamini Mozambique while tunashare Mpaka wa zaid ya km 600
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…