Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

Kuosha rungu ni kama bei gani kwa Tshilingii
 
Bila picha, hizo story ni porojo tu.
 
wewe ni mmakonde bila shaka!!
 
Sijanona mantiki ya uandishi wako hata kidogo punguza porojo nilichoona ni stpri za mitaani kulinganisha mamlaka za huku na kule basi .tulia
 
Wajamaa mpaka wajamaa tena...!
 
Kufika boda unaweza pitia hata MKARANGATI, unaibukia masuguru, mtambaswala hii hapa, unavuka daraja, Mozambique hii hapa, umenikumbusha mbali, kwa, kutajq kitongoji cha Mangaka,
Enzi, hizo, bado nipo shababy nakimbiza kazi za minara, kujenga, kufunga madishi, genereta, na import demu kutoka Kigoma,mpaka mtwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…