Niliyoyaona Msumbiji kuhusu vyakula, silaha, mavazi, ngono na mengineyo

Wapemba wa Msumbiji watakuwa wameruthishana tabia na wenzao wa Zanzibar.
 
Aiseee nimehamasika. Nimetembea kote ila sijafika kusini na nyanda za juu kusini. Najipanga nifanye road trip moja matata sana, kuanzia Dar, lindi-mtwara-Songea—Mbeya-Sumbawanga…..nipande nitokee Kigoma.
 
Usiisahau Iringa maana ina nafasi yake kwa nyanda za juu kusini,yani ikiito Mbeya basi inafwata yenyewe kwa nguvu
 
OK, nice experience.
 
Acha ujinga wewe Tanzania ipo mbali sana kwa Msumbiji, Tanzania ilinganishe na kenya , Msumbiji bado sana tena sana ila mara nyingi ukienda sehemu mpya mwanzoni utapaona pazuri kinoma ila ukikaa ukapazoea utagundua wapo nyuma sana kimaendeleo
 
Unaijua maputo wewe???
 
Wanawake wao wanapitia kwa ngariba Kama walivyo wakuria na wapare wa huku ambao kisimbusi kimeondolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…