Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .
Mange ni mwanamke mwenye husda, roho mbaya na kijicho na huwa anajitahidi kujifanya mwema ili akuchunguze kiundani hatimaye akudhalilishe.
Hivi kwa ule urafiki uliopo kati yake na Hamisa anaweza kweli akamtusi mama mzazi wa Hamisa Mobeto bila aibu?
Kiukweli mnaomahabikia Mange Kimambi mjitazame mara mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app