habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,749
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kumkosea heshima,kwani nani kakuambia Jamaa ni mwanaumeWe Jamaa Una Boa Sana, Kufatilia Mambo Ya Wanawake, Imebidi Nikwambie Tu,
Hasira za kuachwa na mzungu, nahisi yule mzungu kishampiga chini. Maana anaonekana ana stress na soon atarudi kwenye siasa
Kuwa na urafiki na mange kimambi ni sawa kujifunika shuka na nyoka kisha mnalala.
Weka caption tuone maana kwenye pagr yake sijaionaTangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .
Mange ni mwanamke mwenye husda, roho mbaya na kijicho na huwa anajitahidi kujifanya mwema ili akuchunguze kiundani hatimaye akudhalilishe.
Hivi kwa ule urafiki uliopo kati yake na Hamisa anaweza kweli akamtusi mama mzazi wa Hamisa Mobeto bila aibu?
Kiukweli mnaomahabikia Mange Kimambi mjitazame mara mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo walivyo wanawake wa dini hiyo,Tangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .
Mange ni mwanamke mwenye husda, roho mbaya na kijicho na huwa anajitahidi kujifanya mwema ili akuchunguze kiundani hatimaye akudhalilishe.
Hivi kwa ule urafiki uliopo kati yake na Hamisa anaweza kweli akamtusi mama mzazi wa Hamisa Mobeto bila aibu?
Kiukweli mnaomahabikia Mange Kimambi mjitazame mara mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki kuolewaMange usiolewe tena baki tu kama mimi,you are not wife material.. at all..mpaka huwaga najiulizaga unawatoa wapi hao unaokua nao..au hawakujui..lol