Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa kweli kuna mijitu kabisa inamkubaliTangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .
Mange ni mwanamke mwenye husda, roho mbaya na kijicho na huwa anajitahidi kujifanya mwema ili akuchunguze kiundani hatimaye akudhalilishe.
Hivi kwa ule urafiki uliopo kati yake na Hamisa anaweza kweli akamtusi mama mzazi wa Hamisa Mobeto bila aibu?
Kiukweli mnaomahabikia Mange Kimambi mjitazame mara mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ndo umeongea la maana kuachwa kubaya jamaniHasira za kuachwa na mzungu, nahisi yule mzungu kishampiga chini. Maana anaonekana ana stress na soon atarudi kwenye siasa
KweliWeka sikirinishoti wengine hatuna account insta.
We Jamaa Una Boa Sana, Kufatilia Mambo Ya Wanawake, Imebidi Nikwambie Tu,Tangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .
Mange ni mwanamke mwenye husda, roho mbaya na kijicho na huwa anajitahidi kujifanya mwema ili akuchunguze kiundani hatimaye akudhalilishe.
Hivi kwa ule urafiki uliopo kati yake na Hamisa anaweza kweli akamtusi mama mzazi wa Hamisa Mobeto bila aibu?
Kiukweli mnaomahabikia Mange Kimambi mjitazame mara mbili mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli manak mi mara ya mwisho kutumia isnta 2016Weka sikirinishoti wengine hatuna account insta.
umesahau mama king kibaHakuna tusi mbona?
Hawa wamama ;
Ma Sepenga
Ma Mobeto
Ma chibu km kudharaulika wanajitakia,
Kwann asiwe
Ma Uwoya
Ma lulu
Ma JoJo? Nk
Wajiheshimu ndipo watapata heshima
Namuunga mkono mange
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiingilie maisha ya mtu binafsi,maisha yake binafsi hayatuhusu sisi,Tangu awali nilikuwa ninaanzisha nyuzi nyingi sana kuhusu urafiki wa kinafiki uliokuwa kati ya Hamisa Mobeto na Mange Kimambi, japo wachache walinielewa ila wengi walikuwa wananipinga sana ,ila kwa sisi bila shaka mmejionea wenyewe jinsi huyu Mange Kimambi alivyo nyoka .