Niliyoyasema kuhusu Mange Kimambi Yametimia

Hasira za kuachwa na mzungu, nahisi yule mzungu kishampiga chini. Maana anaonekana ana stress na soon atarudi kwenye siasa

Arudi tu kwenye siasa, maana wengine tuli-install app ya insta kwa sababu yake, alivyoacha tuka-uninstall.

Ingawa alikuwa na chai nyingi ila aliwajambisha sana jamaa.
 
Kuwa na urafiki na mange kimambi ni sawa kujifunika shuka na nyoka kisha mnalala.

Halafu career yake hiyo ni ya muda sana, 10 years plus. Ila bado watu wanajichanganya tu.
 
Weka caption tuone maana kwenye pagr yake sijaiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo walivyo wanawake wa dini hiyo,
Japo ntakashifiwa,lkn wanauwajua wanawake wa dini hyo watakili kuwa huyo Dada anadhihirisha na kuwakilisha kwa uwazi kabisa tabia zao,
Husda wivu nk ndo kwao
Sishangai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kujua uhusiano kati ya Mange na Lugumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…