Niliyoyasema kuhusu Yanga SC yetu mlidhani ' natania ' na hatimaye sasa ' Kimenuka ' rasmi huko na kuna ' Mgogoro ' mkubwa sana


Yaani Dr. Msola ni Simba???!!! tangu lini?? Mimi nimecheza naye mpira enzi hizo za ujana wetu...ni Yanga lia lia...Tangu lini amehamia Simba....Huu ni uzushi wa kutisha kabisa..
 
Yaani Dr. Msola ni Simba???!!! tangu lini?? Mimi nimecheza naye mpira enzi hizo za ujana wetu...ni Yanga lia lia...Tangu lini amehamia Simba....Huu ni uzushi wa kutisha kabisa..

Kama Wewe umecheza nae Mimi Mtoto wake Mmoja ni Rafiki yangu mkubwa sana na huwa naenda mno Kwao kama kuna Timu ambayo Mwenyekiti wetu anaipenda nchini Tanzania ni Simba SC na kama kuna Timu asiyoipenda basi ni hii hii yetu ya Yanga SC na amegombea mwaka huu ili ajijenge, ajitengenezee Jina na Mwakani atajiuzuru Uenyekiti wake ili akagombee Ubunge kwani ameshahaidiwa Nafasi kama si ya Uwaziri basi ni Unaibu Waziri wa Michezo au Wizara ya Elimu kwani hata Yeye pia ni ' Mwanazuoni ' mzuri tu.

Wana Yanga SC Wenzangu tusikubali Mwenyekiti wetu ni Simba SC na kama msiponisikiliza Mimi nahamia leo leo Simba SC.
 

Ulichokiandika hapa ni uzushi wa kutisha kabisa...Sitaki kuendelea kulijadili hili kwani Dr. Msola namfahamu na ni mtu wa karibu kwa kiwango fulani...na huwa nawasiliana naye mara kwa mara na kwa miaka mingi...Ulicchokiweka hapa ni uzushi na uchochezi pamoja...Dr. Msola siyo Simba na hawezi kuwa Simba hata siku moja...Ila wewe nadhani ni Simba, kwani nyie Simba kwa fitina hamjambo...
 
Wewe ni mtu baki kwa yangà, hata uvae pinki au uchi hamna atakayejali...kama nyekundu freshi kwa uongozi msigepigia kelele nembo ya voda.
Hii rangi aliyovaa msolla, ndio itamtoa madarakni.
Bado mzee akilimali ajamuona na nyekundu.
Hizo story za vijiwe vya kahawa tu
 

Basi labda amekudanganya tu Wewe Rafiki yake Mkubwa ila amini maneno yangu kuwa Mwenyekiti Wetu ni Simba SC kabisa na nakumbuka hata tulipofungwa zile Goli 5 na Simba SC Yeye na yule Mwana Yanga SC Mwandamizi atokaye Mkoa wa Mbeya mwenye Majina yenye ' initials ' za FMK ndiyo walichangia ' Kutuhujumu ' na mpaka tukaaibika vile. Wakati ukisema Yeye ni Yanga SC ila kila mara huwa anakuwa karibu na Viongozi wa Simba SC na anapenda mno kuwa nao hata kuliko hawa Wetu wa Yanga SC. Nasema tena kama Sisi wana Yanga SC hatutamng'oa haraka Mwenyekiti Mimi leo hii hii baada ya Kutoka Sare na Coastal Union au Kufungwa nao nahamia rasmi Simba Sports Club kwani nimechoka Kuteseka na Kuumia.
 
Mbona hukusema haya mwanzoni wakati wa uchaguzi,huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana,kama vp nawewe hamia simba
 
Mbona hukusema haya mwanzoni wakati wa uchaguzi,huu ni unafiki wa kiwango cha juu sana,kama vp nawewe hamia simba

Ndiyo kama leo tukitoka tu Sare na Coastal Union au tukifungwa nao kama ' nilivyooteshwa ' na Mizimu ya Jangwani basi nahamia rasmi kwa Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club kwani naona kule ndiko ' Kumenoga ' hasa huku Kwetu Sisi huku Yanga SC kukiwa ni ' Baridi ' sana.
 

Hujui kitu kuhusu Dr. Msola...Hujui kitu kabisa...
 
All in all, Yanga tunahitaji ushindi kwa namna yoyote ile. Mambo ya kufungwa hovyo hovyo, na sare dhidi ya timu ndogo, hayaleti picha nzuri kwa timu kubwa na kongwe kama Yanga.
Tumeshachukuwa point 3 muhimu kwa coast wachawi wote including muanzisha Uzi kajinyongeni.
 
Yanga kuna wajinga wengi!
 
Je, Ndugu ni kweli kwamba Yanga SC yetu ina Wapuuzi wengi kama alivyosema Mwenyekiti wetu? Mimi kwa Kauli hii najiandaa Kuhamia rasmi Simba Sports Club kwani wana Yanga SC tumedhalilishwa mno.
Ndio mwenyekiti wenu rage alisema mambumbumbu na popoma kama wewe mmejaa sana pale mikia fc
 
Me ni mshabiki wa Simba lakini ulichoandika mtoa mada unaonekana ni mchabiki mwenzangu wa Simba na sijui unaandika hivyo kwa faida ipi?hiv yanga ikianguka wewe utapata faida gani?me nataka yanga ifungwe na Simba ikiwa vizuri sio tofauti na hapo.
Katika mashabiki 100 wanaojua soka na wapenzi kweli wa burudani ya soka safi wewe ni mmoja ktk hao 100. Sio Yanga anaifunga simba goli 5 ikiwa vibaya au simba anaifunga Yanga goli 5 ikiwa vibaya,halafu unapita unashangilia hayo magoli kila mwaka (manara). Huku ukijisahau hata mechi za kimataifa,wewe unatamani tu uishie kuifunga Yanga na simba tu. Unaishia hapo hapo. Tubadirishe soka letu.
 
Eeh Mungu chochea moto huu mgogoro uwe mkubwa zaidi na yanga itokomee kabisa...
AMINA.
Nakubaliana na wewe, namna pekee ya kushindana na Yanga ni kuhakikisha ina migogoro, isipokuwepo migogoro na dhiki, saa hizi Yanga ingekuwa inaikimbiza Real Madrid kwa kuchukua ubingwa wa ligi mara 34
 
Genta akili zako unazijua mwenyewe
 
Taambia nn watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…