Niliyoyashuhudia Jeshini

Haha,, kuna wakati misemo yao ilikuwa imenikaa mpaka nilipo move on kwa kijana yule. Kwa sasa mengine naanza kusahau.

Kujila si kujipa utawala flani wa kuibia huku ukiwategea wenzako? Kama sijasahau. Kind of uvivu.
Yeah yeah umepatia😅kautawala flani hivi ka wizi ndo maana wanakuambia sifa wepesi.. ukifanya kazi za jeshi kwa moyo unajila😅😅😅😅
 
Hii coincidence ya kukutana na namesake wako inafikirisha
 
Kwa hiyo una kampeni ya kutokomeza upunga!utaweza kweli?😅😅😅
 
Binti yangu yuko kidato cha sita saa hizi hivi sijui ataweza kweli yule huu mziki!!? Kwani kuna madhara gani asipoenda?
Nishajiapiza, nikipata mtoto wa kike mzurii yani ule uzuri wa kila mtu lazma ageuze shingo halafu akawa laini na moyo wa ustahimilivu hana.
Jeshi hatoenda labda waje wamchukue wakiwa na mitutu mizito
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…