Hae Mo-Su
JF-Expert Member
- Oct 14, 2017
- 474
- 1,009
Nipite mpaka ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipite mpaka ndani?
Haha karibu sana. Long time kweli kweli, tokea uzi wa kawe 😂😂😂Nipite mpaka ndani?
kuruta kuliwa ni yeye kujirahisisha na kutaka wepesiKambi yetu bakabaka hawakua na hizo mambo jamaniii!!😄
Ofu cozi mzee 😀Yaani kutoa kitabu au?
Hamna nipo mbona sema nasoma tu na Comment kwa uchache. ule Uzi wa yule kaka yakoHaha karibu sana. Long time kweli kweli, tokea uzi wa kawe 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 em punguzeni. Mkiwa marafiki zetu mnatuharibu sana.😂😂😂😂😂😂😂 Acha dharau wewe, kweli kukumbatiana na CBT hairuhusiwi ila ulivyoilinganisha na wale wanaokata viuno umenichekesha sana, kiukweli wapiganaji hawapendi sana bora wavae nguo zingine wale wa band na sanaa.
Sasa matusi si ndo kama sala la bwana we huijui? Ari na Morale
Haha kaka yupi?Hamna nipo mbona sema nasoma tu na Comment kwa uchache. ule Uzi wa yule kaka yako
Kambi yetu bakabaka hawakua na hizo mambo jamaniii!!😄
Huyo mjeda au bakabaka?
Deep down ukweli naujua😄
Sikia nikwambie! Bakabaka malay... hiyo ni tabia yake, hata angekua mwalimu, daktari, mwanasheria.
Kiujumla jeshi ni safi! Ila ukianza kumchomoa mmojammoja ndo utapata wachafu.
Hapo vipi?
Tulio pitia huko hatuoni jipya hapo kwanza vitu vingi mnalipia tofauti na sisi enzi zetuHabari!
Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa"
Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu naenda jeshi hapana! Hata mpango nayo nilikua sina ila tu niliona ni bahati jina langu kua kwenye list sababu sio wote uchaguliwa.
Nikawasiliana na marafiki zangu kuna baadhi walichaguliwa pia lkn hakuna niliyechaguliwaa nae kambi moja, nikaanza kusikia story plus video za status, instagram watu wanaeka makuruta wanavyogaragara kwenye matope, mazoezi magumu hadi wanalia, nikapata uoga hapo ikawa mzozo nikasema mimi jeshi siendi kwanza kunyoa kipara hapana.
Mzee akaniambia lazima uende, huko Rukwa mkuu wa kambi ni rafiki yangu hivyo wewe mateso hutoyapata nikafikiria nikaona huyu mzee ananipiga fix ili nijae mimi jeshi siendi.
Ila nikawa nataka sitaki na kilichokua kinanitatiza kwenda ni yale mateso tu niliyokua naona kwenye video.
Kuna siku rafiki yangu akanipigia simu kunishawishi twende ila akaniambia "Ephen twende kambi ya mkoa X achana na Rukwa huko wana mazoezi makali sana" nikamwambia kama hivyo fresh acha nijiandae tutaenda next week sababu deadline ilikua bado. Rafiki yangu nampa jina Anna.
Anna ana kaka ake ni mjeda sasa akawa anatupa tips muhimu za kuzingatia mojawapo alisema tranka tutakalobeba tusijaze vitu vingi tuweke vitu vyepesi ikiwezekana vitu tukanunue kambini hukohuko.
Mimi niliona usumbufu yaani nitoke na tranka tupu vitu nikanunulie kambini? nikanunua vitu vyote nikajaza kwenye tranka. Kumbe yule mjeda alikua na maana yake Aisee bora ningemsikiliza.😂
SIKU YA SAFARI
Tukatoka zetu na Anna tukapanda gari tunaenda kambi ya mkoa X japokua tumepangiwa kambi tofauti kila mtu.
Tupo kwenye gari nina furaha naenda kupata experience mpya pia nilifurahi kwenda mkoa mwingine sababu nimezoea dar tu, safari ilichukua almost masaa 7 tukafika huo mkoa X mjini, gari ndo mwisho.
Sasa wote hatujui nini kinafata hapo Anna yeye tranka lake niseme lipo tupu kabeba vitu muhimu tu, mimi nimejaza hadi kubeba linanishinda.
Tukamfata konda kumuuliza, "Sisi tunaenda kambi X tunaomba utupe muongozo" akatuambia pandeni bajaji hadi kituo flani mkifika kuna hiace zinaenda huko jina la kambi ndo jina la kituo cha kushuka.
Tukafanya kama alivyotuambia, tumeingia kwenye hiace asilimia kubwa wana vipara hivyo nikajua wote tunaenda kambini.
Kule tuliposhuka na gari nilipapenda sana ni kuzuri panavutia hamna pilikapilika nyingi nakumbuka nilimpigia simu mama, akaniuliza umepaonaje nikamjibu kwa furaha ni pazuri nimepapenda akaniambia "ukifika kambini nijulishe lkn ukiona huko mateso yamezidi nipe taarifa nikufate urudi nyumbani"
Basi tulivyokua kwenye Hiace tunaenda huko wilaya yenye kambi mwanzoni nasmile na Anna wangu ghafla akili yangu ikavurugika tuliingia barabara ya vumbi sijawahi ona, gari zima hatuonani, kila mtu kwenye gari katapakaa vumbi hadi kope zote nyeupe ndani ya pua nywele vumbi hapo nikapata sign ninapoenda sio pazuri.
Safari ilichukua kama masaa 3 tukaambiwa wale wa kambini mmefika.
Katika maisha yangu bad moment niliyowahi kuexperience ni hii siku, Tumeshuka tu nikaona njia ya vumbi imekata kulia ni ndefu kama 2km nikasikia sauti "Hapohapo wote chuchumaa tranka kichwani ruka kichurachura uelekeo huu hapa kwenda kambini"
Kudadeq ndo nikajua kwanini niliambiwa niende na tranka tupu
Anna yeye chap kachuchumaa tranka kichwani, mimi machozi yashaanza kunitoka nikamwambia Anna mimi nimeghairi siendi narudi nyumbani, hata sijamaliza sentensi nishakula bao la mgongo kutoka kwa mjeda akaanza kufoka wewe bila shaka umetoka Dar naongea tii Amri kwanini umesimama ? Aya tranka kichwani kuruka uelekeo huu.
Akaja mjeda mwingine akanitwika tranka kichwani hapo nishachuchumaa sikuweza kuimili kuruka na tranka.
Anna akaniambia lete nikusaidie chukua langu, yule mjeda aliona tu hata akinipiga ule mzigo siuwezi na Anna pia hauwezi akamwita service man (mjeda anayejitolea) chukua hili tranka wasaidie, basi nikapona hivyo.
Kimbembe kikawa hiyo kichurachura nikiangalia mbele sioni geti, ni mbali almost 2km ndo niruke kichurachura? Hapo machozi yananitoka nalia nkamwambia Anna "mimi namwambia mama anifate siwezi hizi mambo" Anna nae analia Ephen usiondoke ukaniacha mwenyewe bora hivi tupo wote Afadhali.
Nilihisi miguu inawaka moto inataka kupasuka, msafara tupo wengi hadi wanaume wanalia, sasa tulivyoloa vumbi hadi kope mtu ukimuangalia mwenzako unatamani kucheka ukisikilizia maumivu ya miguu unatamani kulia.
Itaendelea...
Muendelezo soma Niliyoyashuhudia Jeshini
Mbugi huyo na wale maservice ndio waliokuwa wakiwafanyisha yale mazoezi ingawa ilikuwa sahihi kwaajili ya kuwaweka vizuri kabla ya intro. Unamkumbuka Umede na ngoma yake ya kupandisha mashetani "Kinje kinjenjele aeee njenjelee", je Kayange?hapana wakati tunakaribia kuondoka ndo walikua wanataka kulianzisha
ngoma walikua wananichosha kupanda kilima kile cha kule eti ndo mazoezi ya pumzi 😀😀😀sikuweza kwa kweli
Nilijua lazm utatia neno. Kwenye huu Uzi. ..Nakumbuka nilienda kambi ya Kanembwa Kigoma kulikuwa na afande wanamwita " Cyborg" yule mwamba alikuwa hacheki alooh na anaogopeka balaa.
Mazoezi ya kule acha tuu kuna afande alikuwa anaitwa John Magesa na mwingine Dakanyama walifanya maisha yetu ya jeshi yawe magukumu.
Nilipata rafiki basi kwenye mchakamchaka alikuwa anapenda sana kuniimba " Sio lako Trudie la mchina hilooooo, umechoma sindano la mchina hilooooo, umepaka mafuta la mchina hiloooo" Nimekumbuka mbali sana
ImeerewekaaUkutane na Afande ngutanyi utaomba poo[emoji23]
mi raia kama wewe mrembo mambo hayo waambiwe wenyewe 😂 😂 😂 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 em punguzeni. Mkiwa marafiki zetu mnatuharibu sana.
KDF inaonekana jeshi lao halina mambo mengi. Ila TPDF mnaringa sana, sheria kibaoo.
mwenye ule uziHaha kaka yupi?
Hahami raia kama wewe mrembo mambo hayo waambiwe wenyewe 😂 😂 😂 😂
Kanitagipomwenye ule uzi
Utaniuza wewe wakati mimi ni mwanaJF tu. Upitie kwangu ukienda Ngorongoro