Niliyoyashuhudia Jeshini

🀣🀣🀣🀣🀣🀣 em punguzeni. Mkiwa marafiki zetu mnatuharibu sana.

KDF inaonekana jeshi lao halina mambo mengi. Ila TPDF mnaringa sana, sheria kibaoo.
 
Kambi yetu bakabaka hawakua na hizo mambo jamaniii!!πŸ˜„

Sema tu hukuwa kwenye zile target zao au umeamua kusifia tu ila deep down ukweli unaujua

Ingawa sometimes siwalaumu sana, kambi nyingi zipo mbali na mji na ukiangalia maisha ya kambi, wote wameshazoeana na hapo hapo wanawake sio wengi. Ndio maana likiingia bogi la form six wanachanganyikiwa

Halafu hao bakabaka huwa hawajioneshi directly sana maana nahisi kuna sheria zinawabana. Ila hawa service men wanahangaika sana
 
Deep down ukweli naujuaπŸ˜„

Sikia nikwambie! Bakabaka malay... hiyo ni tabia yake, hata angekua mwalimu, daktari, mwanasheria.

Kiujumla jeshi ni safi! Ila ukianza kumchomoa mmojammoja ndo utapata wachafu.

Hapo vipi?

Sijasema umalaya mimi 😁😁😁

Nisije nikadakwa mimi ila wale watoto wa kike legelege na wapenda kitonga. Kawaulize habari yao wakusimulie 😁
 
Tulio pitia huko hatuoni jipya hapo kwanza vitu vingi mnalipia tofauti na sisi enzi zetu
 
hapana wakati tunakaribia kuondoka ndo walikua wanataka kulianzisha

ngoma walikua wananichosha kupanda kilima kile cha kule eti ndo mazoezi ya pumzi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€sikuweza kwa kweli
Mbugi huyo na wale maservice ndio waliokuwa wakiwafanyisha yale mazoezi ingawa ilikuwa sahihi kwaajili ya kuwaweka vizuri kabla ya intro. Unamkumbuka Umede na ngoma yake ya kupandisha mashetani "Kinje kinjenjele aeee njenjelee", je Kayange?
 
Nilijua lazm utatia neno. Kwenye huu Uzi. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…