Niliyoyashuhudia Jeshini

Mbugi huyo na wale maservice ndio waliokuwa wakiwafanyisha yale mazoezi ingawa ilikuwa sahihi kwaajili ya kuwaweka vizuri kabla ya intro. Unamkumbuka Umede na ngoma yake ya kupandisha mashetani "Kinje kinjenjele aeee njenjelee", je Kayange?
kuna kayange kuna kitereja kuna rama (hansome wa danger coy) walifanya maisha yangu ya jeshi kuwa matamu saaana
 
Kuna wale Usalama wa taifa.. wanajina lao nimelisahau..

Bakabaka walikuwa wanawaogopa hao maana ikigundulika kuwa mwanajeshi katembea na mujibu taarifa ikiwafikia nadhani walikuwa wanaadhibiwa kijeshi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…