Niliyoyashuhudia Jeshini

Kumbe kila kambi ina uwanja wa damu!
Nikadhani ni kambi yetu tu
Acha tu, tena kambi za kigoma wanaletwa wale manunda. Siku moja usiku tulienda kumsalimia mgonjwa hospitali. Mwendo Marwa aliotupeleka nao kila nikikumbuka mwili huwa unasisimka. Unaroll usiku wa manane kwenda kumtembelea mgonjwa. Kuna fimbo za kumwaga ukiwa nyuma. Nimesharoll mpaka mikono haina nguvu kabisa. Nikageuza mgongo nilijivuta kwa kasi ambayo sijui leo kama naiweza tena.
Usingizi ni luxury ambayo unaweza kuishi bila hiyo.
 
Nipo restaurant nacheka aisee. Sisi kwata tulijifunza zile wiki za six week mchana. Wiki ya kwanza watu walianguka vya kutosha maana damu ilikua haiendi kwenye ubongo. Kwata ya passing squire tulikua kombania ya pili. Ila maksi za usafi zilitubeba. Hanga letu lilikua zuri. Kuna hao eagle coy hanga ni kama yale madarasa yaliyojengwa 1970. Hata wasafishe vipi bado tu walishika mkia siku ya passing squire.
Kwata ya passing out nilisema cha kujifia nini aisee. Nikahangaike na Bweigoge siku nzima? Hata, nilikua kitengo bustani aisee. Kule hadi raha saa nne tumeshanyeshea tunasubiria wa kwata watoke tule. Kuna siku tumekula saa kumi na moja chakula cha mchana maana Bweigoge mkuu wa kambi alikua anakagua gwaride yeye mwenyewe. Maafande walilaani kichizi. Hawakunywa chai wala lunch.
 
Umenikumbusha siku ya passing square aisee!
Hatukulala tunakesha kufanya usafi
 
Nilikaa week bila kulala na hii sababu inanifanya nisithubutu kurudi jeshi
Navyopenda mbonji
My big brother alikua ananiambia rudi huko nikwambambia simple, shall i change your birth certificate ili uender vyeti vyangu? Sio kwa sababu ya kulala ila I can not in good conscious go somewhere where i know for sure what they will do to me. I can face it if it is something unkown but not that what I already have a clue how it will be.
 
Kwani wewe ulienda bila details yoyote kabla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…