Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Umetisha mdogo wangu
🤣🤣🤣🤣 mwaka 91 nilikuwa sijazaliwa...mwaka huo baba angu alikuwa kwenye ajira ana miaka 4 tokea asajiliwe...!

yeye alisajiliwa kati ya 88 au 87...!

enzi zenu ndio zile walio toroka ama waliliwa na Simba au walipambana na Simba uso kwa uso nyie watu mlipitia kipindi kigumu sana.

sio vijana wa siku hizi tumekuta kambi zimezingirwa na nyumba za Raia...!

mtu ukimwambia hapo kawe tu palikiwa pori zito lenye wanyama wakali awezi kuamini🤣🤣🤣​
 
That place is w little hell aisee. Ila hawa warundi na warwanda they have hidden somethings mule ndani. Tukiwa pale some people were killed around where americans built the villages to house them.
Mbona sisi ilikua poa tu.....tumepokea warundi pale kanembwa 996.....ulikua umezaliwa mdogo wangu??
 
Kabla hamjaanza kozi mnaitwa wazalendo. Kipindi cha uzalendo tulifundishwa sana chenja.

Moja ya chenja ilikuwa inaimbwa "yaule wema, ae yaulee wema. Mama wee mama wee utamu wa jeshi nauona eeh"

Baada ya kumaliza kozi, tukiwa safarini tunarudi makwetu, kwenye basi mmoja wetu akaianzisha hiyo chenja. Dah! Kuna feelings Fulani zinakuja hadi unahisi machozi. Unakuwa unakumbuka lifestyle yote ya jeshini, jinsi ulivyoungia na ulivyotoka.

Moja ya kitu nikichokipenda JKT, ni ile mnakutana watu karibu pande zote za Tanzania. Baadhi mnajikuta mnaelewana, mnakuwa mnaroll pamoja mda mwingi. Washkaji wengine mnakuja kukutana chuo, wengine haujui wako wapi, ukikumbuka ule ukaribu mliokuwa nao inahuzunisha sana.

Moja ya kitu nakikumbuka sana maisha ya jeshi ni upendo, Bakabaka sometimes anakuja na karanga (za.pakti), anawapa Kila mtu karanga mojamoja hadi zinaisha, wanatuambia jeshini upendo. Kwahiyo hata sisi makuruti kwamfano umefanikiwa 'kubasti' (kuongeza msosi) unawaita washkaji mnakula wote.

NB: kama Intro ingekuwa inafanyika Kila siku, kambi nzima tungetoloka
 
Jeshi Lina side effects zake kimtindo.

Nakumbuka nimerudi nyumbani, nimetumwa sokoni, nakutana na mlinzi ananifokea eti hauruhusiwi kuingia muda umeisha. Na Mimi nikaanza kujibishana naye, Yani nimedhamiria kabisa nimzingue yule mzee. Bahati yake alikuwa anaongelea mbali.

Wakati naondoka ndo akili ya ubinadamu inarudi, "Yani Mimi nataka nimpige yule mzee"

Tukio jingine wakati wa mabio. Tulivyofika mwisho wa route Kuna shamba la miwa. Kuruti mwenzetu akatoa buku kama sikosei anunue mua.

Sasa yule mzee wa miwa chenji hana. Basi ile makuruti kusikia chenji Hana, tulimvamia tukachukua miwa yote aliyokuwa anauza. Bakabaka wenyewe wametulia pembeni wanacheka tu
 
Nataka kucheka ila nashindwa. Nakumbuka nilipoga around wiki tatu bila kulala. Kanembwa 2013 July na August. Sipasahau kamwe. Mwanzoni niligoma kufungua moyo ila ilifika sehemu sina namna niliufungua tu. Pamoja na yote kuna siku nilibreak down. Yani unafika siku unaichoma dunia kabisa maana umechoka halafu afande anakukejeli aisee. That nigh i sat there and looked at heaven asking God kwani kwetu hakuna vitanda. I think a 4 to 5 weeks had passed without proper slip. Hasira, uchovu na baridi. Halafu mtu anakwambia kwenu hakuna kitanda ndo maana mmeletwa huku. In the middle of the night, all had been exhausting. I finally got tired but nilimaliza. Am glad i went, i learned a lot of things. But it was hell.
Op miaka 50 ya jkt hatari sAna hiyo nilikua Songea mlale its almost 10 years now time flies Mwaka jana walikua na op miaka 60 ya jkt
 
HII imenikumbusha siku niliyoripoti JKT mimi nilinyoa kipara Sasa wakati nafika kwenye gari la kuelekea kambini nilikutana na wadada wawili wao walikuwa hawajanyoa, Ile tunafika nikaulizwa Hawa unawafahamu nikajibu ndiyo, wakaniambia kwahiyo wewe umewadanganya wasinyoe alafu ukanyoa peke yako, aisee palepale getini nilianza kuroll na kurukishwa vichura, nikamwagiwa maji, Kisha nikaambiwa niwapake poda usoni yaani vumbi, alafu niwanyoe yaani palepale hamu yote ya JESHI iliisha
Duu [emoji32][emoji32]
 
Mi nawalinda mabinti. Sipatani tu ila mitakataka inayotaka iwe kama mabinti. Ndo maana nikiona hata mtu anaonesha dalili namwahi kabla hajaharibikiwa sana. Ila kwa watoto wazuri kama nyie ole wake mtu awaguse nitamfanya kitu kibaya. Huyu mwandishi nilidhani ndo wale wanaume mchekea. Nlifura kwa hasira sana kuwa yamefikia hatua yanajiweka tu hadharani. Kumbe siyo maskini.
Chizi Maarifa ! Episode ya 6 iwapi , wewe si ndiye mlinzi wake
 
Ole wako service man umkatae utapata adhabu kama zote.
Mzazi usiogope mtoto kwenda kwa mujibu, faida ni nyingi kuliko hasara
1) Wewe service man alikujaribu kama ndio ilikuwaje?.
2) Namesake ulimtafuta tena kwenye maisha yako au bado mpaka sasa?.
3) Uliwacha jeshi?. Vipi na Anna yupo jeshi au nae karara mbele?.
4) Umetaja vitengo vi5 tu hivi jeshini hakuna kitengo cha spy,Medical na mechanic?.
5) Vyakula huja kwa msimu jeshi lina mfumo wa vyakula vya makopo?. Hivi hata siku ya vita vinaweza saidia jeshini kuwa na supply chain kwa wanajeshi kirahisi.
 
Back
Top Bottom