X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Umetisha mdogo wangu
🤣🤣🤣🤣 mwaka 91 nilikuwa sijazaliwa...mwaka huo baba angu alikuwa kwenye ajira ana miaka 4 tokea asajiliwe...!
yeye alisajiliwa kati ya 88 au 87...!
enzi zenu ndio zile walio toroka ama waliliwa na Simba au walipambana na Simba uso kwa uso nyie watu mlipitia kipindi kigumu sana.
sio vijana wa siku hizi tumekuta kambi zimezingirwa na nyumba za Raia...!
mtu ukimwambia hapo kawe tu palikiwa pori zito lenye wanyama wakali awezi kuamini🤣🤣🤣