Niliyoyashuhudia Jeshini

SOMETIMES BEST MEMORY MAKES YOU SAD, BECAUSE YOU KNOW THEY WON'T HAPPEN AGAIN🙏
 
Pole ndiyo ukubwa huo [emoji3]
 
Hongera sana kwa kumaliza, swali kwahiyo hao wasumbufu mlikuwa mnawakubali?
 

Ahsante sana kuiona Taswira nzuri namna hiyo
 
Nikikumbuka yai, mkate na karanga😁😁
Na kale kawimbo

Serule makamanda ahee ......haiwezekani kamanda maji kupanda mlima.....aheee

Sio km .............(nikiwataja ugomvi😁😁) push kwenye godoro...."kuroll kwenye carpet........ nguo kupiga pasi

Nimekumbuka sana MSATA Aisee
 
1. Kuna service alinitesa hadi naondoka, akinikuta nimeoga nimeng'aa ananipa adhabu ya kutoll ili nichafuke upya.

2. Nilimtafuta kwasasa sina mawasiliano yake.

3.Jeshi niliacha wote na Anna, course yetu ya miezi 3 ilipoisha tulirudi nyumbani.

4. Sisi kwa mujibu hatukua na hivo vitengo ulivyovitaja.

5.Hatukuwahi kupewa vyakula vya makopo.
 
Sasa msoto huo wasichana mkiwa kwenye desturi inakuwaje hapo!
Sifa wepesi! Alfajiri kabla ya mabio unaenda kujiweka sawa

Muda wa chai unaenda pia, lunch na dinner unatumia muda huo kujiweka safi.
 
Chizi Maarifa ! Episode ya 6 iwapi , wewe si ndiye mlinzi wake
Ulweso usimghasi ghasi bint. Mwache aandike taratibu kwa utulivu. Ukimghasi hivi ataanza kulia sababu atakumbuka alivyoteswa JKT mwache please. Ataandika kwa raha zake. Kwanza hata hamumlipi kajitolea tu kuwapa darasa onabidi mumshukuru sana
 
mujibu ni brash to yani kama mvua za rasha rasha... awawezi kukutana na vyakula vya kopo...wala biscuits zetu zile awazijui...vyakula hivyo ni vya cozi za walio sajiliwa. na kama ni ulinzi wanafundishwa wa kujilinda yeye mwenyewe sio kulinda wengine.

maana ile dhana kuwa mwanajeshi mmoja sawa na raia 100 haiwezi kuingia kwa hawa Mujibu...yani wanakuwa bado awana wanacho jua kuhusiana na Jeshi. wanafundishwa asilimia 10% ya mafunzo ya awali...

tuchukulie ni sawa na short course za Veta, mtu alie soma short course awezi kufahamu mambo kiu ndani kama alie maliza full course.

wao wana mjua mzabuni wao anae wapelekea mikate tu...!

kuku, nyama, mboga za majani na matunda vinapatikana hapo hapo maana kambi nyingi zimejikita kwenye uzalishaji wanafanya kilimo na ufugaji.​
 
Course ya kujitolea nisingetoboa
 
Huyu ni binti kwa mujibu wa maelezo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…