Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
So unaweza kulima now?Kujifunza huko, nimepata uzoefu mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So unaweza kulima now?Kujifunza huko, nimepata uzoefu mpya
😅😅😅 Hapo kwenye bustani umenipiga na kitu kizito.......labda kama unalima online 😅Nishindwe kuchimbachimba!?
Plus nyumbani nina bustani ya matembele😂
Haya niambie, hiyo bustani yako kwa mwezi unaipalilia mara ngapi? 😅Bustani ya matembele, miti mitatu ya mapera, kisamvu na miwa
Inshort nakaa shambani😂
Kwahiyo wewe hufanyagi palizi kabisa yani? 😅Mama ndo namuonaga anaikagua then inakua safiii
Mimi nachuma mazao tu😂
Unajitia mkulima, na hujui maana ya palizi? 😅Palizi ndo nini
Nenda maduka ya kilimo utapata dawaMimi mkulima mdogo
Unajua mti wa mpera unapataga wadudu wanafanya mapera yanatoka na vidonda?
Dawa yake unaijua?
Hebu nifafanulie kwanza, ni mti gani unaouzungumzia? Mpera huu huu au? 😅Mimi mkulima mdogo
Unajua mti wa mpera unapataga wadudu wanafanya mapera yanatoka na vidonda?
Dawa yake unaijua?
Unaupaka maji na sabuni, alafu ndio unaumwagia? 😅Dawa yake ni sabuni ya unga unatia kwenye maji mapovu unamwagia kwenye mti.
Unaumwagia mti au mti ndio unamwaga? 😅Tuseme maji ya mapovu unamwagia
Unamwaga wapi sasa? 😅Mti ndo unamwaga!😂