So unaweza kulima now?Kujifunza huko, nimepata uzoefu mpya
π π π Hapo kwenye bustani umenipiga na kitu kizito.......labda kama unalima online πNishindwe kuchimbachimba!?
Plus nyumbani nina bustani ya matembeleπ
Haya niambie, hiyo bustani yako kwa mwezi unaipalilia mara ngapi? πBustani ya matembele, miti mitatu ya mapera, kisamvu na miwa
Inshort nakaa shambaniπ
Kwahiyo wewe hufanyagi palizi kabisa yani? πMama ndo namuonaga anaikagua then inakua safiii
Mimi nachuma mazao tuπ
Unajitia mkulima, na hujui maana ya palizi? πPalizi ndo nini
Nenda maduka ya kilimo utapata dawaMimi mkulima mdogo
Unajua mti wa mpera unapataga wadudu wanafanya mapera yanatoka na vidonda?
Dawa yake unaijua?
Hebu nifafanulie kwanza, ni mti gani unaouzungumzia? Mpera huu huu au? πMimi mkulima mdogo
Unajua mti wa mpera unapataga wadudu wanafanya mapera yanatoka na vidonda?
Dawa yake unaijua?
Unaupaka maji na sabuni, alafu ndio unaumwagia? πDawa yake ni sabuni ya unga unatia kwenye maji mapovu unamwagia kwenye mti.
Unaumwagia mti au mti ndio unamwaga? πTuseme maji ya mapovu unamwagia
Unamwaga wapi sasa? πMti ndo unamwaga!π