GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Tatizo ni Avatar iko kiume, ID nayo iko kotekote.Sielewi mtu anaposema alikua anahisi mimi wa kiume, tatizo ni jina, avatar au navyocomment?
Sema mimi sio mkuu sasa.Hapo nimeelewa mkuu![emoji109]
Mimi ni mtu wa kawaida.Nani?
Aahaa kumbe, nilikuwa sijui.Jf tumezoea kuita mkuu!
Ila nimekuelewa.
Najua wanao itwa wakuu , ni watu fulani wana status yao JF.Upo tokea MMXVII halafu hujui mkuu linatumika kuita watu humu!
Unaweza kuwa wew ndio uko sahihi na mimi ndio nakosea.Kumbee! Basi mimi huwa namuita yeyote tu
Humu kumbe kuna watu na status zao![emoji23]
Aaaha, hapo sawa.Mkuu ni kwa yeyote bhana!
Basi asante Mwamba, kwa darasa.Mkuu, boss, mwamba, ndugu nk ni sawa kwa mtu usiyemjua jina
Inaonesha uungwana
Wapi tena?Karibu!
Miss nani vile?Sijajua ukiume umeonekana wapi mimi ni Miss!
Upo kauzu sana ephenephen
Umechangamka vizuri....!ephen
Unaitwa kuleAsante