GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Tatizo ni Avatar iko kiume, ID nayo iko kotekote.Sielewi mtu anaposema alikua anahisi mimi wa kiume, tatizo ni jina, avatar au navyocomment?
Na ulivyoongelea maswala ya JKT watu akili zetu zikasoma ni wa kiume.