Niliyoyashuhudia Jeshini

Aisee nmecheka sana huu uzi. Kumbe mnapitia songombingo. Ila ni jambo zuri sana kwa ukakamavu na uzalendo.

Nmecheka sana
 
life la jeshi mimi siji kusahau ile siku ya kufunhua course 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 mgambo jkt 835 kj alooo
Ulikua mzembe na mvivu tu yan tizi la kj 835 pale Tanga waja leo waondoka majaaliwa ukaliona gumu?
 
Uongo huwezi kuwa na msichana anna kambini eti akusaidie kubeba tranka
 
Ulikua mzembe na mvivu tu yan tizi la kj 835 pale Tanga waja leo waondoka majaaliwa ukaliona gumu?
shida mkisikia tanga mnahisi kupo kama ruvu yani 😂😂 oyaaa hata mimi nijua hivyo lakini baada ya kutoka na kusikia story za wa kigoma wao kwenye six weeks walikua wanalala saa sita wanaamka saa tisa wakati sisi huku waja leo waondoka leo hatukulala kabisa hizo six weeks
 
Hapo kwenye umenichekesha, you made my day
 
Sada

zile za 92 unakuwa selected, kule hawataki weak people wanataka performing individuals. Ukizingua hata zoezi moja ni out. Hawana mchezo. Tofaut na OC TMA
Upo sahihi, OC na yenyewe mziki 2nd phase ukizingua class tu unarudishwa kikosini kwenu na nyota utabaki kuziona tu kwenye mabega ya washkaji zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…