Niliyoyashuhudia Jeshini

Mbona mko serious hivi?

Mimi mpaka chuo nikiumwa mama atanipeleka hosp, na nikiwa najiskia vibaya vibaya nalia kabisa.. na sio kudeka, sijui ni nini uwa.
 
Tanga, maramba au Oljoro Arusha
 
Kwani huyu mtoa mada ni dume? Mbona mi nahisi ni demu... Haiwezekani mwanaume asaidiwe kubeba mzigo wake na Anna.
 
Mleta mada ni mdada,povu kafulie nguo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…