Niliyoyashuhudia Jeshini

Niliyoyashuhudia Jeshini

Da'Vinci unapomkosea mtu na unamuomba msamaha maana yake hutakiwi kurudia
Naona notification yako mimi sijui nini ulichotuma hivyo nafungua kujua ni nini
Nakutana na kitu kinachoniogopesha sio mara 1 wala 2 unanifanyia hivi kama nina pressure huoni unaweza kuniua?
Au nikuignore nisiwe naona quotes zako kwangu.
Siku ile nilikuambia ukasema hutorudia lkn leo mara ya pili unafanya tena
Sio sawa mimi sijapenda
I want you to conquer your nightmare
 
I want you to conquer your nightmare
Situlimaliza kwa kukubaliana uniache, siwezi kua imara kwenye kila kitu, kila mtu na udhaifu wake naomba uache kunitumia picha kama hizo
Kwanza umenichawia siku hizi hata ig nikiingia kwenye reels nakuta video nyingi za hivyo.
 
Hahaha mm uchawi natoa wapi
 
Muhimu usinitumie picha ya yule mdudu😎
Naomba link ya yule mama ntilie aliyekua anakuzimia
Unataka ukagundue nn huku??
 
Back
Top Bottom