Niliyoyashuhudia katika Kambi ya Simba SC kisiwani Unguja

Niliyoyashuhudia katika Kambi ya Simba SC kisiwani Unguja

Mikia kwa kujifariji mupo aiseeee.,

Mwisho wa msimu mtaishia nafasi ya 4.

Mkuu nitakupatia kadi ya uanachama ya Mshikaji wangu kwa mda ili uje ushuhudie vionjo vya yatakayotokea msimu ujao, katika Simba Day.
 
Kwa hiyo mmeiva kwa mapinduzi cup na mtani jembe?
 
Kwa hiyo mmeiva kwa mapinduzi cup na mtani jembe?

Timu imeiva kama 70%.. Ila usiombe ifike 90%.. Maana kuna hatari baadhi ya timu, hazitakua zikiingia uwanjani ili kuepukana na kipigo KIZITO,
 
Sembo una mahaba mazito sana ila sio mbaya pamoja jana leo tupo na lambalamba najua utakuwa upande upi.
 
Sembo una mahaba mazito sana ila sio mbaya pamoja jana leo tupo na lambalamba najua utakuwa upande upi.

Mkuu siku zote mi furaha yangu ni kuona Yanga anafungwa.. iwe ndani ya uwanja, nje ya uwanja au hata mazoezini.. Hivyo leo nitakua na ndugu zangu Azam.. wanaongozwa na jirani wa kocha wetu mkuu "mtalaamu" Dylan Kerr.
 
Mkuu Sembo, kwanza nikushukuru kwa taarifa nzuri na ya kitaalamu. Binafsi nampongeza sana Prez Aveva na timu yake, tunaoujua mpira na wapenda mageuzi haya ndiyo tuliyokuwa tunayataka na kuyaongea- wekeza kwenye benchi zuri, fuata miongozo ya kisasa na then sajili wachezaji wazuri na kwa namba ili kila namba iwe na ushindani. Mazoezi mazuri na ya kitaalamu nakwambia hata hao walevi na wazinzi watajichunga wenyewe na haina haja ya kuhangaika nao km watoto. Then kuna mambo ya ndani ya kiutawala ambayo najua akina Collin wanayajua juu ya motisha wa kuwa first eleven, ktk bench nk na hayo ndiyo yanaongeza ushindani. Then uchaguzi wa player of the week, month na msimu na tunatoa zawadi. Tuna uwezo wapenzi wa kweli kuwatumia njumu nzuri na quality kama zawadi, nk au hata kuwatumia videos na masters za mazoezi nk ili wajifunze wao binafsi badala ya kuwa wanaangalia za viduku kila siku 🙂
 
Sembo roho kwatuuu!nimeyapokea matokeo uzuri coz unaposhindwa ni fursa ya kuangalia makosa na kujipanga upya.
 
Ahsante sembo pamoja ndugu yangu penye ushindani mmoja lazima ashindwe.
 
usisahau timu inafanua mazoezi kwa mafungu naiona hii kuathiri sana mwanzo wa ligi, kila siku anakuja mchezaji mwingine/mpya ilihali wengine wameshafika mbali ki programu

ama badu tuna kocha wa makipa lakini wamesema hatuna makipa..............
 
usisahau timu inafanua mazoezi kwa mafungu naiona hii kuathiri sana mwanzo wa ligi, kila siku anakuja mchezaji mwingine/mpya ilihali wengine wameshafika mbali ki programu

ama badu tuna kocha wa makipa lakini wamesema hatuna makipa..............

Mkuu unalosema ni kweli... Kabla ya Simba Day tutakua tushafunga usajili.. Hivyo wachezaji wote lazima wawe wamesharipoti, na mpaka ligi ianze timu itakua imeshachanganya. Hivyo tegemea mambo makubwa.. Na kuhusu kipa naona Kerr kashaanza kumuamini Manyikq Jr.. maana katika gemu mbili hizi kampanga 1st eleven.
 
usisahau timu inafanua mazoezi kwa mafungu naiona hii kuathiri sana mwanzo wa ligi, kila siku anakuja mchezaji mwingine/mpya ilihali wengine wameshafika mbali ki programu

ama badu tuna kocha wa makipa lakini wamesema hatuna makipa..............

SAD NEWS: Mavugo hatajiunga na Simba kwa kuwa Vital'O wamepanda dau toka 100millions hadi 200mil afu waendelee kumiliki 50% pindi akiuzwa.

My concerns: let's be professional, utatangazaje kuwa umemsajili mchezaji fulani kabla hamjamalizana na klabu yake. viongozi wetu wamezoea kukurupuka sana yanapofika masuala ya usajili hawafanyi silently ili kuepusha mambo ya ajabu kama haya.

Jitahidini kuwa mnatulia kwanza mpaka mnamalizana na klabu na mchezaji ndipo mnatangaza. IMENIUMA SANA

SOURCE: SAID TULLY ON AZAM TV MORNING TRUMPET
 
viongozi wa simba wanarudia makosa yale yale ya rage kutangaza kumsajili mchezaji kabla hawajamalizana na klabu yake rejea ishu ya mbuyu twite. wanasahau kuwa kuna maadui wa ndani na nje ambao wakishajua tu wanaanza kuchochea moto dau linapanda ili simba washindwe kumsajili. juzi juzi walitangaza wanataka kumsajili mchezaji wa gor mahia kilichotokea kila mtu anajua. ushauri wangu wangu kwa viongozi wa simba tafuteni wanachama waaminifu wa simba mikoa yote ya tanzania pamoja na kenya, uganda, burundi, kongo, rwanda n.k. then muwatumie kama mawakala wakimuona mchezaji mzuri waujulishe uongozi na wenyewe utume wataalamu kwenda kufanya tathimini kabla ya kumsajili. utaratibu ulitumika kumsajili okwi kwa mara ya kwanza kabisa toka uganda unapaswa kutumika na si vinginevyo badala yake yake uongozi utaendelea kulipa pesa nyingi za usajili bila kutarajia.
 
kwa ishu ya mavugo viongozi wanaweza ingia mkataba binafsi kama wanavyofanya ulaya na mavugo akamalizia mkataba akaja kama mchezaji huru na wakamwongezea dau la usajili kuliko kulipa pesa nyingi sasa hivi.
 
Mkuu jana Mtalamu Kerr aliwatumia vijana wote, I mean timu iliyocheza 1st half na 2nd half ni tofauti.

Kwa taarifa za chini kwa chini et maaguli anatemwa anapelekwa kwa mkopo....!
 
Back
Top Bottom