Niliyoyashuhudia ziara ya Rais Obama 2013 sitayasahau

Ni Satellites. Kuna moja ilikuwa kubwa ilikuwa ina onekana kama full moon😃
 
Nakumbuka ile njia ya Samnujoma Mlimani City zilipandwa Palm Trees kubwa kubwa zikamea week moja vizuri Obama alivyosepa zikaanza kunyauka ila baadhi zilidumu.
Nakumbuka,wabongo sisi hatari,kumbe tunaweza,palm tree zilikuwa kubwa kabisaa na mizizi yake bila shaka walitumia caterpillar kuzing'oa huko walipozitoa
 
Iy aayaaa nmecheka kichizii duuu! Jamaa walitaka vyo vipande au !
 
Waafrika bado sana asee uyu uyu bwege akienda Uk.russia .China shughuli zinaendelea kama kawaida..ata south Africa sizani kama ni maboya kama sisi
Sidhan kama US walikurupuka au walitaka kuuza sura kwa kutumia mfumo ule walipokuja bongo.Kuna kitu walikitilia shaka katika mfumo wetu wa ulinzi.Pia tukumbuke walikuwa na historia ya tukio la 1998 kwenye ubaloz wao.
 
We Wenye dondoo za hali ya hali ilivyokuwa alivyo enda kenya watujuze.
 
Sidhan kama US walikurupuka au walitaka kuuza sura kwa kutumia mfumo ule walipokuja bongo.Kuna kitu walikitilia shaka katika mfumo wetu wa ulinzi.Pia tukumbuke walikuwa na historia ya tukio la 1998 kwenye ubaloz wao.
Hiyo ni sera yao kila Rais wao anapokuwa na ziara nje ya USA
Hawamuamini mtu tangu JFK auawe kizembe
 
Safari ya US President ,POTUS! Wanai treat kama" mission ".
Kutembea na batani za nukes sio mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…