Nilizaa na mke wa mtu, anataka kunidhulumu mtoto

Tupo wengi kumbe... mie nilimpa mimba kisha akaolewa... Kila nikipiga picha sipati miaka ijayo itakuwaje
 
Mwana wacha uboya huna mtoto hapo, wewe mwenyewe umekiri mtoto anafanana na mama yake hivyo huyo siyo wako unachunwa tu ndezi wewe.
 
Acha ujinga..utamuhaRibia mwenzio familia yake.. amani ya familia ni kila kitu bro.. We unaanzaje kuwaacha mijanammke yote barabarani halafu unaenda kupanda mbegu ktk shamba lisilo lako???
 
Kama ulizaa na mke wa mtu basi hata huyo mtoto si wako ni wa mtu.
 
Unapochukua mtoto kuna hatari ukaacha marinda.. kupanga ni kuchagua
 
Kweli we huna akili kabisa
 
We hamnazo kweli! Umefanya dhambi kubwa ya kuzini na mke wa mtu kisha unataka kujianika kwaa jamii kuwa ulilifanya? Jiweke katika nafasi ya huyo mume mwenzio. Ungekubali ujinga huo??
 
Kitanda hakizai haramu. Birth certificate ina jina lako? Grow up
 
Yajayo yanafurahisha, huoni kwamba utaleta shida kwenye hiyo ndoa? kuwa mpole una uhakika gani kama kweli huyo Mtoto ni wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…