Nilizaa na mke wa mtu, anataka kunidhulumu mtoto

Kwa majibu ya wadau humu ni kuwa huna mtoto hapo. Labda kama umenuia kuvunja ndoa ya huyo unaemwita rafiki yako kinafiki.

Watu wengi wamezaa na wake au waume wa watu. Huwa hawakomai kutaka watoto .

Odhis *
 
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
 
Fanya hivi moe mimba nyingine
 
mada kama hizi ndio zinawafanya watu wastaafu JF kabla ya wakati
 
Duuh pole Sana mkuu..kamwambie mume wake
 
Nenda kadai mtoto mahakamani ukiwa na mil.10 za fidia ya ugoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…