Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Hivi huwa anampendea lihogo au ile midomo ya kunyonyea *** ( in mange's voice)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee Leo mange kaniacha hoiii
Mange ana maneno jamaniii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Kwa mujibu wa sheria za dini ya Dai watoto ni wa Zari hivyo Dai hawezi kuwarithisha. Hii kwa sababu wamepatikana bila ndoa
 
Yani huyo Mange sikuhizi anaskilizwa kuliko gazeti la Mwananchi
 
Bibie naona DNA ya Nillan imemrudishia akili ss ni wakati wa brother, je atasamehe maana naona bi mkubwa keshasamehe. Alikuwa amekaza lakini baada ya kusikia jamaa kafanya DNA kinyemela naona anatangaza hawajaachana.
 
Yaani Mange ni Mungu wa mademu wa Tanzania na wanaume wa Dar.....na Mange huyo huyo huyo kapigwa talaka kutokana na kutojitambua, umbea, na uzinzi.....kwa hapa Bongo anaonekana ni shujaa wa mademu wasio na akili timamu, why?
 
Na wewe ni demu wa wapi? Jitambulishe tafadhali.
 
Yaani Mange ni Mungu wa mademu wa Tanzania na wanaume wa Dar.....na Mange huyo huyo huyo kapigwa talaka kutokana na kutojitambua, umbea, na uzinzi.....kwa hapa Bongo anaonekana ni shujaa wa mademu wasio na akili timamu, why?
Nilifikiri humfahamu Mage wala hujui story zake, kumbe umekufa na kuoza kwake zaidi ya hao ulio waorodhesha hapo juu, pole sana kiongozii...
 
Ukiwa unamfuata Mange tunakupmba uwe unarudi na mrejesho yale mauongo yake. Pili DNA utaenda Leo na kupata majibu hapo hapo ehhhh du basi hiyo kali.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]siku hizi mange ndio mtoa taarifa hata kama ni za uongo hambishi!!!?
 
Nilifikiri humfahamu Mage wala hujui story zake, kumbe umekufa na kuoza kwake zaidi ya hao ulio waorodhesha hapo juu, pole sana kiongozii...

Mange simjuwi ila nasikia kwa mademu wa kibongo kuwa Mange kasema hivi jana, mara Mange kapigwa talaka, oh Mange kabla hajaolewa alikuwa anajiuza Arabuni.
 
waacheni bwana kwani wakilana sisi inatuhusu nini misambwenda yao yoote wanampa chibu, huku umbea tuuu umbea hauna dini wala dili ebooo!
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Dini inataka mama wa marehemu apewe1/8 ya mali zote then zinazobaki wagawane watoto na mama yao hivyo watoto watagawana but male huzidi kidogo kama robo tu coz ye ndo mlezi wa dadaye. kama akiolewa ye ndo mtoa idhini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…