Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
- #221
Sawaaa uncleMsalimie Sabrina .
Mwambie uncle Hance amekumiss sana.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji5]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaaa uncleMsalimie Sabrina .
Mwambie uncle Hance amekumiss sana.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji5]
Uthibitisho gani tena jmn 🙁Mimi naomba tu uthibitiuthibitisho kua huyu Beef Lasagna ndio @Kunduva
Mange ana maneno jamaniii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hivi huwa anampendea lihogo au ile midomo ya kunyonyea *** ( in mange's voice)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asee Leo mange kaniacha hoiii
Uthibitisho gani tena jmn 🙁
Kwa mujibu wa sheria za dini ya Dai watoto ni wa Zari hivyo Dai hawezi kuwarithisha. Hii kwa sababu wamepatikana bila ndoaWengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Hahahahaaha....
Na wewe ni demu wa wapi? Jitambulishe tafadhali.Yaani Mange ni Mungu wa mademu wa Tanzania na wanaume wa Dar.....na Mange huyo huyo huyo kapigwa talaka kutokana na kutojitambua, umbea, na uzinzi.....kwa hapa Bongo anaonekana ni shujaa wa mademu wasio na akili timamu, why?
Nilifikiri humfahamu Mage wala hujui story zake, kumbe umekufa na kuoza kwake zaidi ya hao ulio waorodhesha hapo juu, pole sana kiongozii...Yaani Mange ni Mungu wa mademu wa Tanzania na wanaume wa Dar.....na Mange huyo huyo huyo kapigwa talaka kutokana na kutojitambua, umbea, na uzinzi.....kwa hapa Bongo anaonekana ni shujaa wa mademu wasio na akili timamu, why?
Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee
Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee
====
mange kimambi anasema;
Okay ni hivi hawa watu Dai na Zari ugomvi wao ni mkubwa mnoooooooooooooooo! Kwa kifupi it's over! Na labda Dai asilaumiwe sana! Haki yawezekana Dai kitombi Ila kwa hili Dai anamstiri Zari kushinda maelezo...
Mnakumbuka niliwahi kuandika kuwa Dai aliwahi Kumdai Zari DNA ya Nillan! Well guess what?? Hii juzi Dai alivyoenda SA, kampima Nillan DNA kisirisiri akakuta Nillan sio mtoto wake....... Unaambiwa kiliwakaaaaaa huko sauzi!! kumbe dogo alikuwa anaibiwa!!
Na jana baada ya Zari kuposti huko Tweeter kwamba hatokwenda Uganda na Diamond kwenye hiyo festival Unaambiwa Diamond kachukiaa mbayaaaa anamwaribia biashara sababu angekaaa kimya ili Watu wasijue kuwa haendi, basi Dai akaandika kwenye group la WCB huyu mwanamke nitamdhalilisha mpaka ashangae, meaning ataongea issue ya Nillan. Jamani screenshot ninayo naogopa kuposti coz inaweza julikana nani kamunch kwenye hilo group la WCB.
Alieniletea hiii habari ni mtu very credible. Sio habari za kuokota!! Yani haina chenga. Pia Kama we mjanja utakuwa umenoti kuwa Dai kamposti Tiffah tu alivyoenda Sauzi.
Nimewaza sana why Diamond anamstiri Zari?Imagine amesha-find out 100% Nillan sio mtoto wake na amekaaa kimya! Ndo maana Zari kabadilisha mpaka profile names za watoto,Dai anatishia atasema kakuta Nillan sio wake. Nimewaza why Diamond anafanya ubinadamu huu kwa Zari Ila jibu ni moja tu, sio kwamba anamprotect Zari tu ila anajiprotect na yeye mwenyewe kwa aibuuuuuu. Atachekwaaaaaaa kabambikiwa mtoto. Kalea mimba sio yake, kafanya arobaini ya mtoto sio wake!
Jamani mnaambiwa Dai kadai DNA kwa Zari mpaka kachoka Zari anagoma !!! Ndo hivyo kafanya juzi!
Sidhani kuna siku ningeona Dai sio mtu mbaya Ila kwa hili nampa pongezi aiseeee Dai anamstiri Zari.
Mniamini 100% kuwa Dai kampima Nillan DNA juzi Sauzi bila Zari kujua akakuta mtoto sio wake. Hao kina Hamornize wooote wanajua!
Kati ya vyote kilichonistua ni kuambiwa mdogo wangu Wema analala Madale hiii wiki nzima!!! Doh nimechoka kabisaaa, tunamwambia Zari aondoke mdogo wangu ndo anaenda kulala huko? . Unaambiwa Dai ni anaenda kula kwa Wema kila siku, anapikiwa mashatashata .Basi rudini kulala
Nilifikiri humfahamu Mage wala hujui story zake, kumbe umekufa na kuoza kwake zaidi ya hao ulio waorodhesha hapo juu, pole sana kiongozii...
Na wewe ni demu wa wapi? Jitambulishe tafadhali.
Ooooh changu tena
Ha ha aaaaaaa
Mama Dangote kawashushua huko si umeona au?
Dini inataka mama wa marehemu apewe1/8 ya mali zote then zinazobaki wagawane watoto na mama yao hivyo watoto watagawana but male huzidi kidogo kama robo tu coz ye ndo mlezi wa dadaye. kama akiolewa ye ndo mtoa idhiniWengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga