Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
aibu ganii hamisa chupi kunuka amemburuza dai mahakamani kwa kukataa kuomba msamaha na hapeleki matunzo hamissa hana chakeNimefurahi sasa hamisa pambana na wema
Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho
Kwa kweli hata kipindi cha penny ilianza hivi hivi. Sasa sijui hamisa atamchukia wema pia [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Wewee Almasi ana hela. He is capable of hiring/bribing a specialized doctor to conduct and undergo this task at any cost and eventually find out the hidden identity of the incubant.Kisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Heh heh heeeeeh. LolKisa mange kasema.
Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?
Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Hahahahaaaaaaa hashindwi kutwa kucha na ya wenzie,cjui ata majukum yake ya muhmu anatimiza saa ngapiAlishatumiwa kipande cha kisomo ya albadiri ndio maana kwasasa hajielewi
Ipo siku atabadili jina na kujiita Mange Kinembe[emoji3]
WamerudinaNa kama hawajarudiana lakini kunjunjana muhimu........sio kwa jinsi anavyompenda huyo dai.
Mmmhuuu.
Nawe umekoment hapa utaunganisha kusutwaMhh mtasutwaaa
Ukute mkeoUkute mke wa mtu uyooo..............na mwanaume nae anasimama kifua mbele eti ana mke nyumbani duuh
Umeitwa hapa we changuEti inasemekana😱.. shusha nondo kama huna nenda SA zifate ulete.. zaidi ni udaku.com
Strong woman nillan wa ivan [emoji23][emoji23]mmh wiki hii jukwaa letu hili lipoje busy.....zari pole mama huo ndio ustrong lady unaosifiwa...
kisichokuua kitakukomaza tu