Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Kweli kabisa,zari jeshi la mtu mmoja,watu mia wanamchangia mtu mmoja aiseee kisa ni mganda ila wao kutwa kujiyegesha kwa vibabu vya kizungu ili waolewe huko,kweli nyani haoni k..nd.le
dada zetu vichwa sifuri.kanga moko yule zari ni sawa na nyie kumi.hela hamna,sura shida halafu ni malaya
 
Nimefurahi sasa hamisa pambana na wema

Zari pole unaondoka bongo kwa aibu kiasi hicho

Aibu gani? Hapa unadhihirisha kwamba mwanamke ni chombo cha starehe wenzio wanavyobuluzwa na kutumiwa wewe unafurahi nyie watu wa ajabu sana acha dai awanyooshe kwa kuwa hamjui mnachosimimia.
 
Hahahahaaaaa mange ni mnaa jamani sijapata kuona.......eti huyo bebe vepe ala tek away tuu??
Sio huyu anakuwaga kimbele front kumtetea wema ama?????
Na txt za imbobo kazweka hadharani
Ama kweli don't trust any1

Alishatumiwa kipande cha kisomo ya albadiri ndio maana kwasasa hajielewi
Ipo siku atabadili jina na kujiita Mange Kinembe[emoji3]
 
6tag-1919287929-1619075120391104759_1919287929.jpg
 
Nawaza tu

Jinsi dai kaenda S.A akaomba mtoto atoke naye au akamuiba uuuuu mpka kwa mkemia( sijui ndo anaitwa ivo?) Mara akapima DNA faster a akakuta nillan sio wake

Mara karudi bongo akawaambia grp la WCB ,,na mange kila siku anavowatukana wcb lakini mmoja wao akaamua amtumie tu mange screenshot kumpasha habari,,, HATARIOUS

Km nillan sio wa dai kweli basi wanawake tu watu wabaya sana,,,,
 
Duuuhhhh mwanamke akikosa pesa ,,, na akakosa elimu ,,nakwabahati mbaya akawa hana kazi rasimi .


Atageuzwa geuzwa weeeeeeeee.
 
Diamond kwa wanawake wasiojiweza fundi balaa ilitakiwa avute mtoto mkali sasa hayo majanvi yakina hamisa,zari sijui wema mara wolper daaaaa atayabuluza sana
 
Am telling u hii ishu ya wema na dai ina 80% za ukweli ila wema anawaza anaanzaje sasa kuexpose mapenzi yao km umeangalia nowadays wema hana kick tena hapa mjini so she is struggling to top up her name back!!
Kabisa
Lisemwalo lipo wabongo hawaanzishagi uongo,
Wema hashindwi kurudiana na Dai
 
Kabisa
Lisemwalo lipo wabongo hawaanzishagi uongo,
Wema hashindwi kurudiana na Dai
Wema hajielewi hata robo na anampenda mnooo dai na dai atafanya kumkomoa hamissa na zari ila diamond doesn't luv wema at all
I feel sorry for her kwa kweli
Wema ni kichaa wa mapenzi yulee
 
Duuuhhh hatar Sana.....Mwaka mbaya Sana kwa plantinumu huu
 
Ukweli utajulikana tuu kila kitu kinaanzaga kama romous halafu kinakuja kuwa out hebu tutulie kwanza bapendwa kabla badamu habajamwagika
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Siri za familia, kwa nini zinatolewa public...


cc: mahondaw
 
Kisa mange kasema.

Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?

Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
haa haaa haaa kula like mkuu
 
Back
Top Bottom