Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee
Ubuyu kamili nendeni kwa Mange
Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee
dada zetu vichwa sifuri.kanga moko yule zari ni sawa na nyie kumi.hela hamna,sura shida halafu ni malaya
 
Kisa mange kasema.

Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?

Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Wabongo bwana wakishamuamini mtu basi hata aseme nini wanaamini.
Mange huyu huyu alituambia kuwa diamond baada ya kutoka clouds ataenda kwa hamisa na yale aliyosema kwenye interview wamepanga ili kumtuliza zari.
Akatuambia hata zile picha na video diamond ndiye kamwambia hamisa aziachie.
Leo hii yako wapi kama walipanga mbona wamefikishana mahakamani.
Yaa kuambiwa changanya na akili yako...
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Dini gani???

Kwamujibu wa dini hiyo, hao wanaojiita watoto wa dia, wote ni watoto wa zinaa, kwa mujibu wa dini mtoto wa zinaa hana haki ya kurithi kitu chochote kutoka kwa uyo baba aliesababisha kupatikana kwake

Mtoto wa ndani ya ndoa ndie mwenye haki ya kurithi, je hapo yupo ambaye zao lake ni la ndani ya ndoa?
 
Ndiyo mana vichoko vingi sana dar havina mambo ya kufanya mtoto wakiume unafatiliaje mambo kuhusu mtoto wake au sio wake
 
Screenshot_20171006-063816.png

1507261224129.jpg
 
Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,
Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee
Ubuyu kamili nendeni kwa Mange
Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee
Wewe na unayeamini ni baba yako mmepima DNA?
 
Kisa mange kasema.

Haya yule wa hamisa mnayesema ni wa dai mbona matunzo hapewi mpaka kuburuzwa mahakamani?

Halafu watu mnadhani kupima DNA ni sawa na kupima malaria aiseee
Dai tajiri kuliko Kiba.
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
 
Kama ni kweli mbona hili picha silielewi!!
Waigizaji wengine wamerudijerudje kwenye scene(wema)
Linatia ukakasi
Director tunaomba ufafanuzi
 
Back
Top Bottom