Napenda watu wenye ufahamu kama wewe.Ila achana na mambo ya watu huo ni umbeya.Si kweli ktk uislam diamond Hana mrithi hata mmoja maaa wale si watoto wake wote watatu
Umeona eeeeh shoo........ndo zake.ananiumaga huyu bdada kutokua na msimamoWema anakataa tu,baadae atakirii
dada yangu kumbe upo. nimefurahi kukuonaMhh mtasutwaaa
Huu ni ubuyu kama umeumia ni weweKukwichikwichi wafanye wengine, wewe roho inakuuma [emoji23]
UNATAKA MTOTO ILI UPATE MTAJI.ZARI ANAWAZIDI KWA KILA KITU MNAMUONEA WIVU TU NYIE MABUZI YA KIBONGO.TUNAWANUNULIA VOCHA LAKINI BADO MNATUBIP.ZARI NI MASHINE NYINGINEUmeamaliza kinuka mkojo we
so diamond akifa leo mali zitupwe kisa watoto hawajazaliwa kwenye ndoaSamahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
Alituambia hamisa ana mimba ya daimond-na ikawa kweli na dai kakubali mtotoWabongo bwana wakishamuamini mtu basi hata aseme nini wanaamini.
Mange huyu huyu alituambia kuwa diamond baada ya kutoka clouds ataenda kwa hamisa na yale aliyosema kwenye interview wamepanga ili kumtuliza zari.
Akatuambia hata zile picha na video diamond ndiye kamwambia hamisa aziachie.
Leo hii yako wapi kama walipanga mbona wamefikishana mahakamani.
Yaa kuambiwa changanya na akili yako...
AJE KUUMIA WAKATI NA YEYE NI HAMISA MWINGINE.ZARI KIBOKO YAOHuu ni ubuyu kama umeumia ni wewe
Kwani kupima DNA kunahitaji tani ngapi za malori???Huyu Mange ni kichaa, ye anafikiri unaweza kupima DNA kama unakwenda kununua sigara dukani?
Mim bila DNA haihitajiki macho yako tuWewe na unayeamini ni baba yako mmepima DNA?
Hata mi naamini wema kwa dai hapinduiiiWema anampenda mno mondi hii habari ya kurudiana naipa 80% za ukweli
Basi sawaAlituambia hamisa ana mimba ya daimond-na ikawa kweli na dai kakubali mtoto
Alisema hamornize anadate na mzungu-ni kweli
Mange akisema kitu kikawa cha uongo anakanusha vingi anasema kweli,,,ambavyo wengine hamuwezi kutupa ubuyu mtupishe
Sema nawewe uone nani atakusikiliza helooMange kasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HeheeeeSema nawewe uone nani atakusikiliza heloo
Ahhahahaha bora umenisaidiaZari ni member hapa JF??
Haya umaarufu nishaupata kufwaaaaHabar za Instagram waachie akina GIGGY money.
Unatafuta umaarufu huku GT's?
Tutakupuuza tu.
anapenda hela yake tu kunguru hafugiki alishazoea kupanua miguu kwa kila apitaye mbele yake.upendo kwake ni msamiati mpyaHata mi naamini wema kwa dai hapinduiii
Sema wewe basiMange ameshasema,si ndio?
Unadhan SA ni bongo?Huyu Mange ni kichaa, ye anafikiri unaweza kupima DNA kama unakwenda kununua sigara dukani?