Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Wema anakataa tu,baadae atakirii
Umeona eeeeh shoo........ndo zake.ananiumaga huyu bdada kutokua na msimamo
Mwshoe ndo hawa wanatufanyaga wanawake tunaonekana wangese......sitaki nataka
Hatujui tunataka nini
 
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
so diamond akifa leo mali zitupwe kisa watoto hawajazaliwa kwenye ndoa
 
Wabongo bwana wakishamuamini mtu basi hata aseme nini wanaamini.
Mange huyu huyu alituambia kuwa diamond baada ya kutoka clouds ataenda kwa hamisa na yale aliyosema kwenye interview wamepanga ili kumtuliza zari.
Akatuambia hata zile picha na video diamond ndiye kamwambia hamisa aziachie.
Leo hii yako wapi kama walipanga mbona wamefikishana mahakamani.
Yaa kuambiwa changanya na akili yako...
Alituambia hamisa ana mimba ya daimond-na ikawa kweli na dai kakubali mtoto
Alisema hamornize anadate na mzungu-ni kweli
Mange akisema kitu kikawa cha uongo anakanusha vingi anasema kweli,,,ambavyo wengine hamuwezi kutupa ubuyu mtupishe
 
Basi sawa
 
Back
Top Bottom