Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Inatoshaaaaaaaa sasa duuu!
Too much is harmfull
 
Inaweza ikachukua wiki 3 mpaka 12, na huku kwetu Africa siwezi kuamini eti kapata majibu ndani ya siku 2. Mange anazingua
Africa ni tz, kwa SA sio Africa acha ujinga wewe kama hujawahi fika huko nyamaza
 
Ktk uislam hakuna mtoto wa haraam ktk maandiko yote unayoyajua isipokuwa kuna mtoto wa zinaa
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
Uislamu haurithishi mali kwa mtoto wa nje ya ndoa!
 
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga

dini gani hiyo ya dai mtoto wa nje ya ndoa anaruhusiwa kurithi...????
dini haihusiki hapo waendelee tuu na ya dunia...
 
Mange huyo huyo ndiye aliyeapia kwa miungu yake yotekuwa yule Zulekha sio mdogo ake Zari, bali ni mtoto wake wa ujanani. Akasema na ushahidi anao. Ila kikamshuka shuuu. So pathetic!!
 
Mimi ningekuwa Zari ningetulizana zangu kimyaa, nimekunja nne nakinywa Cocktail tuu. Ila Zari naye akae kimya aishiwe damu. WaTz wanamuwehusha sanaaa. Ule u classic wake wa enzi zile woote inaisha.. Saivi kila mtu insta anamtukana zari ili apate followers wengi. shame
 
amalize mambo yake na Hamisa nje ya mahakama akamate mtoto aoe ndoa safi ya kiislamu then akitaka aongeze na huyo Wema. Mbunye na ulevi ndio sababu kuu ya kuporomosha watu toka vilele vya mafanikio. Atagonga hovyo hadi lini sasa.
 
Zari karithi mali nyingi sana na anachotaka ni kuachana na Diamondi bila makelele mengi akasimamie mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…