Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Nillan sio Mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu analala Madale

Kwa sheria za dini ya kiisilam watoto waliozaliwa kabla ya ndoa hawana haki ya kurithi mali za baba yao. Na Domo jana kasema hajawahi kuoa, kwa hiyo hamna anayesaliti kurithi mali hapo.
Wengi wanamchukia nillan kwa sababu ni mtoto wa kiume(tena wa zari) mwenye haki ya kurithi mali za baba yake kwa sheria za dini ya dai. Tiffa hawamtaji wala kumtukana kama zaman alipokua mchanga
 
Inasemekana daimond alivyokwenda south akamchukua Nillan na kwenda kupima nae Dna kimya kimya majibu yakatoka 99%sio wake,,
Wabongo tulikataa kua mbona huyu mtoto anamfanana marehemu ivan,,

Team zari jiandaen kuja madale kwa kukimbiaa [emoji23][emoji23]
Zari kabadili profile name kwenye page za watoto na ndip ugomvi mkubwa kisa hilii, ,,we daimond nae kwenda kuzaa na bibi ukomegee

Halaf wema kajirudisha Madale ana wiki analala hapo,,duuu huko madale kutakua kutamu sana aisee

====

mange kimambi anasema;

Okay ni hivi hawa watu Dai na Zari ugomvi wao ni mkubwa mnoooooooooooooooo! Kwa kifupi it's over! Na labda Dai asilaumiwe sana! Haki yawezekana Dai kitombi Ila kwa hili Dai anamstiri Zari kushinda maelezo...

Mnakumbuka niliwahi kuandika kuwa Dai aliwahi Kumdai Zari DNA ya Nillan! Well guess what?? Hii juzi Dai alivyoenda SA, kampima Nillan DNA kisirisiri akakuta Nillan sio mtoto wake....... Unaambiwa kiliwakaaaaaa huko sauzi!! kumbe dogo alikuwa anaibiwa!!

Na jana baada ya Zari kuposti huko Tweeter kwamba hatokwenda Uganda na Diamond kwenye hiyo festival Unaambiwa Diamond kachukiaa mbayaaaa anamwaribia biashara sababu angekaaa kimya ili Watu wasijue kuwa haendi, basi Dai akaandika kwenye group la WCB huyu mwanamke nitamdhalilisha mpaka ashangae, meaning ataongea issue ya Nillan. Jamani screenshot ninayo naogopa kuposti coz inaweza julikana nani kamunch kwenye hilo group la WCB.

Alieniletea hiii habari ni mtu very credible. Sio habari za kuokota!! Yani haina chenga. Pia Kama we mjanja utakuwa umenoti kuwa Dai kamposti Tiffah tu alivyoenda Sauzi.
Nimewaza sana why Diamond anamstiri Zari?Imagine amesha-find out 100% Nillan sio mtoto wake na amekaaa kimya! Ndo maana Zari kabadilisha mpaka profile names za watoto,Dai anatishia atasema kakuta Nillan sio wake. Nimewaza why Diamond anafanya ubinadamu huu kwa Zari Ila jibu ni moja tu, sio kwamba anamprotect Zari tu ila anajiprotect na yeye mwenyewe kwa aibuuuuuu. Atachekwaaaaaaa kabambikiwa mtoto. Kalea mimba sio yake, kafanya arobaini ya mtoto sio wake!

Jamani mnaambiwa Dai kadai DNA kwa Zari mpaka kachoka Zari anagoma !!! Ndo hivyo kafanya juzi!

Sidhani kuna siku ningeona Dai sio mtu mbaya Ila kwa hili nampa pongezi aiseeee Dai anamstiri Zari.

Mniamini 100% kuwa Dai kampima Nillan DNA juzi Sauzi bila Zari kujua akakuta mtoto sio wake. Hao kina Hamornize wooote wanajua!

Kati ya vyote kilichonistua ni kuambiwa mdogo wangu Wema analala Madale hiii wiki nzima!!! Doh nimechoka kabisaaa, tunamwambia Zari aondoke mdogo wangu ndo anaenda kulala huko? . Unaambiwa Dai ni anaenda kula kwa Wema kila siku, anapikiwa mashatashata .Basi rudini kulala
Sabrina hajambo?.
 
Wabongo bwana wakishamuamini mtu basi hata aseme nini wanaamini.
Mange huyu huyu alituambia kuwa diamond baada ya kutoka clouds ataenda kwa hamisa na yale aliyosema kwenye interview wamepanga ili kumtuliza zari.
Akatuambia hata zile picha na video diamond ndiye kamwambia hamisa aziachie.
Leo hii yako wapi kama walipanga mbona wamefikishana mahakamani.
Yaa kuambiwa changanya na akili yako...
Namchukia kweli Mange Kimavi.
 
Samahan naomba nikurekebishe, Tukirudi Kwenye dini ya kiislam Nillan na Tiffa wote ni watoto haramu wamezaliwa nje ya ndoa hata kama Zari angeolewa bado ni watoto haramu kwa dai mtoto haramu Hana urithi kwa baba yake na baba Hana urithi kwa mtoto wake. Kidini hawaruhusiwi kurithi hata kijiko.
Mmmh.

Kunduva tangu ubadili username unatema nondo balaa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
72ae09162857233fe75c919f61f0295e.jpg

Hayo ni maneno ya mangekimambi kuhusiana na ishu ya wema kwenye party.
5c89a978e6b9f4b853fac7a01b94f6ba.jpg

Majibu ya wema ndo hayo wale mnaopenda sources kutoka kwa mangekimambi huo ndo ukweli kwanini mange asingempigia wema na angepewa ukweli wote,sasa mange yeye anakurupuka tu kutoa habari zisizo na uhakika kuhusiana sakata la Wema na Diamond kurudiana ona mdada wa watu kaumbuka na akome siasa zimemshinda.
4016c50a1ce9b75158458b434c7e8337.jpg

Tusubiri diamond atasema nini akirudi Kampala kwenye show,kasema ataweka wazi ishu zote.
Mange ni mwongo yule mdada mbona habari zake siyo za ukweli.
Mbona nyingi huwa zina anzaga hivi hivi badae mnakubali. ?.
Na waza tu kichini chini.
 
Mange kimambi ndio role model wa wanawake wote wa Instagram maana dah
 
Back
Top Bottom