Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Huyu bi mkubwa ameongea heeee! hivi Huyu kabujanja ndio bwana Zitto Kabwe bila shaka?
===============
Aliyekuwa katibu wa ACT tawi la mwanga kaskazini, NIMBI MUSSA KINYOTA ambaye kwasasa amekihama chama hicho, amewahasa wanawake wajane keendelea kukiamini chama cha mapinduzi pamoja na wagombea wake akiwemo mgombea ubunge katika jimbo la kigoma mjini CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO
Nimbi ameyasema hayo leo October 2 alipokuwa akiongea na baadhi ya wanawake wajane katika kata ya mwanga kaskazini