Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Slim...Mzee wangu Mungu akujaalie siha njema na busara kubwa, hakika tunanufaika na darsa zako!
Ahsante sana.
Nafurahi ninaposoma kuwa kalamu yangu imeongeza elimu katika jamii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slim...Mzee wangu Mungu akujaalie siha njema na busara kubwa, hakika tunanufaika na darsa zako!
Ndo wenyeweHabari wako ndugu yangu Mohamed Said,
Naomba unifahamishe, huu ukumbi wa Atnautoglo upo wapi huu kwasasa ? Au ndio atnautoglo uliopo karibu na hospital ya mnazi mmoja?
Kwenye kitabu chake nimesoma kuna habari nyingi zaidi za huyu PhombeahShida ya huyu mzee amejawa udini na chuki dhidi ya wagalatia wa Tanganyika..ila akiondoa huo udini ni mzee maenye kontent.
Ona hata hii stori mgalatia wa Tanganyika mpaka ameombwa aandike ila anayo kaiminya tu yawezekana azipo nyingi za wagalatia kama hao ila kaziminya kwa sababu zake za udini.
Hapa ndio kinatufanya wengi tumpuuze na kumuona hafai.
#MaendeleoHayanaChama
Kabisaaa, yaani wanajichukiabni kwanini wanamchukia[emoji28][emoji28][emoji28]Mzee wangu Mohamed Said ninauhakika kwa nondo unazoziandika humu hata wale wanaokuchukia katika mioyo yao wanakukubali
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mzee Hekima nyingi sana watumia, Wallahi tunaenjoy sisi vijana wanaharakati kuishi katik zama za pumzi zako. Allah akuhifadhi tuyajue mengi kutoka kwako. Allahumma AmiynJiwe...
Napenda sana hii, "Huyu mzee.''
Unasema nina, "Udini na chuki."
Unasahau kuwa historia ya uhuru kwa kuwa ni historia iloyojaa wazalendo wengi Waislam ilifanyiwa hujuma na watu ambao si Waislam.
Wewe huijui historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika lakini huna subra ya kuuliza unakuja hapa unanishambulia.
Denis Phombeah nimeandika historia yake katika kitabu Cha Abdul Sykes (1998).
Sijui una lipi la kusema?
Nasubiri jibu lako.
Sijapata kupuuzwa hata siku moja kwa kalamu yangu.
Kalamu yangu imeniingiza katika vyuo vingi kuzungumza.
Au hujui?
Fanya utafiti utaujua ukweli.
Unasema unanipuuza halafu uko hapa na mimi darsani kwangu?
Mzee una nongwa bayaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].humpi hata pumziiJiwe...
Napenda sana hii, "Huyu mzee.''
Unasema nina, "Udini na chuki."
Unasahau kuwa historia ya uhuru kwa kuwa ni historia iloyojaa wazalendo wengi Waislam ilifanyiwa hujuma na watu ambao si Waislam.
Wewe huijui historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika lakini huna subra ya kuuliza unakuja hapa unanishambulia.
Denis Phombeah nimeandika historia yake katika kitabu Cha Abdul Sykes (1998).
Sijui una lipi la kusema?
Nasubiri jibu lako.
Sijapata kupuuzwa hata siku moja kwa kalamu yangu.
Kalamu yangu imeniingiza katika vyuo vingi kuzungumza.
Au hujui?
Fanya utafiti utaujua ukweli.
Unasema unanipuuza halafu uko hapa na mimi darsani kwangu?
Mwana...Mzee una nongwa bayaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].humpi hata pumzii
Huu ni uongo wa kwanza kuusoma humu JF kuanzia 2023Huyu ni Mgalatia Sheikh Mohamed Said hana muda nao.
Badee...Mzee Hekima nyingi sana watumia, Wallahi tunaenjoy sisi vijana wanaharakati kuishi katik zama za pumzi zako. Allah akuhifadhi tuyajue mengi kutoka kwako. Allahumma Amiyn
Shida ya huyu mzee amejawa udini na chuki dhidi ya wagalatia wa Tanganyika..ila akiondoa huo udini ni mzee maenye kontent.
Ona hata hii stori mgalatia wa Tanganyika mpaka ameombwa aandike ila anayo kaiminya tu yawezekana azipo nyingi za wagalatia kama hao ila kaziminya kwa sababu zake za udini.
Hapa ndio kinatufanya wengi tumpuuze na kumuona hafai.
#MaendeleoHayanaChama
The Monk,Hapo unamuonea Mzee wetu, hii habari ni kweli ameombwa aiandike hapa lakini tayari ameshasema yeye ndio aliiandika Kwa kirefu kwenye mojawapo ya vitabu vyake.
The Monk,
Naogopa kuonekana najisifu lakini si rahisi mtu kunipuuza.
Yeye hajawezq kufanya hilo.
Yuko hapa ananisoma.
Monk,Hekima ya Hali ya juu sana na ustaarabu mwingi unauonyesha.
Achilia mbali habari za huyo Phombeah, watu wanaopata darsa kuhusu ukumbi maarufu na wa Arnautoglo na mengine mengi ya kujifunza.
Endelea kutupa elimu Mzee wetu.
Pia nikutakie Heri ya mwaka mpya 2023, Mwenyezi Mungu akutunze, akuzidishie baraka na Rehema zake, Akujalie afya njema na azidi kujalia hekima na busara.
Monk,
Ahsante na Amin.
Mimi nimesomeshwa elimu ya mjadala kwenye madrasa na Sheikh Haruna.
Alisisitiza sana kusoma vizuri somo unalotaka kujadili au kufundisha.
Akanifunza na adabu.
Akisema ukitaka kupoteza heshima yako basi kuwa na lugha mbaya usiyochunga murua.
The Monk,Ahsante Kwa hili Somo la adabu na staha pia Mzee wangu.
Mwalisi,Nzee tupe elimu udini na ukabila sisi wa africa isiwe hajenda kwetu
AlaaaHuyu Phombeah alikuwa special branch wa waingereza kabla ya uhuru,hilo linajulikana mbona