Mchunguze tu usimuhukumu Kwa maneno ya kuambiwa ni mabaya sana
Juzi dadaangu alipigiwa simu mumewe Yuko somewhere na kimada Kwa bahat nzuri kumbe mumewe alikuwa Yuko nyumbani muda huo 😂😂😂Ila watu nafikir muda ule asingekuwa yupo pale moto ungewaka
Watu hawapendi mambo mema wakat mwingine au amani baina ya watu
Fanya uchunguzi wako Kwa makini