Nimchunguze au niache

Nimchunguze au niache

Mchunguze tu usimuhukumu Kwa maneno ya kuambiwa ni mabaya sana
Juzi dadaangu alipigiwa simu mumewe Yuko somewhere na kimada Kwa bahat nzuri kumbe mumewe alikuwa Yuko nyumbani muda huo 😂😂😂Ila watu nafikir muda ule asingekuwa yupo pale moto ungewaka
Watu hawapendi mambo mema wakat mwingine au amani baina ya watu

Fanya uchunguzi wako Kwa makini
 
Achana nae tuuu,
Maana ukimchunguza mtaachana na hata ukimchumbia mtaachana tuu..
 
Back
Top Bottom