Nimchunguze au niache

Nimchunguze au niache

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
817
Reaction score
2,180
Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
 
Screenshot_20230510-233754_2.png
 
Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Mtaka cha ufunguni shalti ainame

Kama kweli unamtaka, haina haja ya kumchunguza,

Unataka uchunguze ili ugundue nn, kwa nn ww ni afisa uchunguzi
 
Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
We mchunguze tu, ni heri uufahamu huo ukweli wake, then ufanye maamuzi ukiwa unajua

Kuliko uje kuyajua mkiwa kwenye ndoa, tena yake kama surprise
 
Kama umejiridhisha ana wanaume wengi unapata wapi ujasiri a kuendelea naye ?
 
JAMAA HAWATAKI MCHEZO,WAMEAMUA KULETA NA REMOTE KABISA.
IMG_20230523_140420.jpg
 
Wadau kuna binti nakaribia kumchumbia, tatizo naskia skendo skendo sana kuhusu tabia zake kuwa ana wanaume kibao. Sasa nawaza nimchunguze kujua kama ni kweli ama nimchumbie tum
Kama una uwezo wa kuyafanyia kazi matokea ya uchunguzi, mchunguze. Ila kama matokeo ya uchunguzi utamuachia Mungu, bora umuachie Mungu toka kwenye ngazi ya uchunguzi..!!
 
Kabla ya kumchunguza,jichunguze wewe kwanza,huna wanawake kibao?

Hayo uliyoambiwa inaweza kua ni kweli au sio kweli But kumbuka kuoa ni sawa na kubet tu,huenda ukisha muoa atatulia.
 
We ndo utaenda kuishi nae, sisi tupo hapa kupiga domo tu
 
Back
Top Bottom