Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 139
- 47
Huu muda anaotaka kuupoteza kwa kutaniana ni bora angeutumia kwa kujifunza kuandika kwa ufasaha lugha yake ya Kiswahili.Mleta mada una mwandiko mbaya kama unakula kichwa na miguu ya bata.
HAHAHAHA KUMBE NA NDEVU NI MZIGOHeading yako ilitakiwa iandikwe hivi,
Ni muda wa matani/Utani sio "Nimda wamatani"
Huo ndio utani wangu kwako.