Bossmkubwasana
Senior Member
- Apr 9, 2019
- 139
- 47
Tutaniane kidogo andika utani wowote atakae kujibu mtaniane zaidi naanza meme .macho kama tochi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu muda anaotaka kuupoteza kwa kutaniana ni bora angeutumia kwa kujifunza kuandika kwa ufasaha lugha yake ya Kiswahili.Mleta mada una mwandiko mbaya kama unakula kichwa na miguu ya bata.
HAHAHAHA KUMBE NA NDEVU NI MZIGOHeading yako ilitakiwa iandikwe hivi,
Ni muda wa matani/Utani sio "Nimda wamatani"
Huo ndio utani wangu kwako.