C cha ukweli Member Joined Aug 18, 2014 Posts 67 Reaction score 5 Apr 4, 2015 #1 nimeapply ualimu lakini sijaona pakuandika vyuo na nimeshndwa kuangalia majina sijui kama ndo nimekamilisha usajili naomba mnijulishe kama nipo sawa
nimeapply ualimu lakini sijaona pakuandika vyuo na nimeshndwa kuangalia majina sijui kama ndo nimekamilisha usajili naomba mnijulishe kama nipo sawa
marko maluli Senior Member Joined Mar 14, 2015 Posts 164 Reaction score 49 Apr 4, 2015 #2 unavo apply hakuna kuchagua chuo.....chuo itakuchaguria wizara husika hvy usiwe na shaka tulia subir upangiwe saw kjn
unavo apply hakuna kuchagua chuo.....chuo itakuchaguria wizara husika hvy usiwe na shaka tulia subir upangiwe saw kjn