nime apply vyuo lakn sijao ona pa kuandika vyuo

nime apply vyuo lakn sijao ona pa kuandika vyuo

cha ukweli

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
67
Reaction score
5
nimeapply ualimu lakini sijaona pakuandika vyuo na nimeshndwa kuangalia majina sijui kama ndo nimekamilisha usajili naomba mnijulishe kama nipo sawa
 
unavo apply hakuna kuchagua chuo.....chuo itakuchaguria wizara
husika hvy usiwe na shaka tulia subir upangiwe saw kjn
 
Back
Top Bottom