Yani hujakoseaaanakuona saivi upo karibia na soketi yako ππ
ndiyo mkuu aweke soket karibia na kitandaUnazungumzia Vitanda vya zege au?
Manake nnavyojua vitanda vya zege ndio huwa havihamishiki, ila hivi vingine vinahama engo yoyote unayotaka kwahiyo unaposema umwambie fundi atengeze kiwe karibu na socket sijakuelewa... Au unamaanisha fundi umeme ndo aweke socket karibu na kitanda?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazungumzia Vitanda vya zege au?
Manake nnavyojua vitanda vya zege ndio huwa havihamishiki, ila hivi vingine vinahama engo yoyote unayotaka kwahiyo unaposema umwambie fundi atengeze kiwe karibu na socket sijakuelewa... Au unamaanisha fundi umeme ndo aweke socket karibu na kitanda?
Kweli mkuunawaona wengi sana hata wana Jf wa humu π
Kwahiyo socket ihamishwe sehemu iliyokuwa mwanzo na ipelekwe kilipokuwa kitanda???ndiyo mkuu aweke soket karibia na kitanda
Kazi kwakok hata ikichungulia wachawingoja me ni chungulie nyota nje
aahh tatizo unajiongeza sana hapo tunaashum kitanda hakiamishiki Na hamna extension nadhan ndo mtoa post assumptionsKwahiyo socket ihamishwe sehemu iliyokuwa mwanzo na ipelekwe kilipokuwa kitanda???
Cable si zipo mkuu, shida yote ya nini
kukubali kubali mada bila ya kufikiria??? Am too yesterday,aahh tatizo unajiongeza sana hapo tunaashum kitanda hakiamishiki Na hamna extension nadhan ndo mtoa post assumptions