holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Kizazi cha mwaka 1990 kushuka chini kilipenda kueka [HASHTAG]#Vitanda[/HASHTAG] karibu na madirisha ili waweze kuona mwezi na nyota wakati wa usiku...😉
Kizazi cha mwaka 1991 mpk sasa 2017 utasikia kina mwambia fundi "we fundi nataka kitanda changu kiwe karibu na socketi ya kuchajia simu" wakuchati mpaka usiku wa manane.😛😛 mpo.