Nime-deposite Tsh laki 1 tangu jana lakini kwene acc yangu ya UTT haipo

Mkuu ndiyo mara yako ya kwanza kudeposit kweny akaunt yako ya utt? Ni kwamba unaponunua vipande unanunua kwa thamani ya siku husika ila salio kuja kuonekana kwenye akaunt huwa uchukua kuanzia 24 hrs hadi 24
Kuwa na amani pesa yako iko sehem salama kabisa
 
nimeogopa mkuu asante kwa comment yako
 
wakuu hii imekaje

Nilikua nime deposite hela utt kupitia nmb sim app lakin mpaka sasa inasoma zero
Shehe ni baada ya siku tatu ndio issue yako inakuwa imeshafanyiwa kazi,so vuta subira,nina experience ya kutosha na utt coz im a member
hizi namba hawapokei
Namba zao kweli ni wazito sana kupokea sometimes,bt utt is real na hamna mazonge zonge.
 
mkuu we ulianza mwaka gan??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…